Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Acha kudanganya watu. Ukweli ni huu hapa:Sheria za NEC zimebadilika bwashee ukiwa mbunge kaa kwenye mipaka yako unless ni ishu inayomhitaji kama mwenyekiti ndio anapaswa kuwepo
1. Mbowe walishakosana na Lissu kwa sababu ya Lissu kukosa adabu kwa mwenyekiti wake.
2. Lissu alishamfukuza John Mnyika (Katibu mkuu wa chama chake) kuonekana kwenye kampeni zake kwa kumuhisia kuwa anahujumu kampeni zake.
3. Mbowe anajua fika kiwa Lissu hatashinda urais wa JMT. Kamuweka pale kuleta amsha amsha tu ya chama chake na kujipatia ruzuku.
4. Uwezekano wa Mbowe kupata ubunge wa Hai ni ngumu sana mwaka huu. CCM ilisha jiapisha kulichukua jimbo hilo mwaka huu ili kumshikisha adabu Mbowe. Hivyo Mbowe lazima ajichimbie jimboni humo na kupiga kampeni kwa kijiji ili asije kupata aibu hii ya kutokuwa mbunge na kupoteza hadhi yake ya KUB.