Uchaguzi 2020 Mbowe amehamia jimboni Hai?

Sheria za NEC zimebadilika bwashee ukiwa mbunge kaa kwenye mipaka yako unless ni ishu inayomhitaji kama mwenyekiti ndio anapaswa kuwepo
Acha kudanganya watu. Ukweli ni huu hapa:
1. Mbowe walishakosana na Lissu kwa sababu ya Lissu kukosa adabu kwa mwenyekiti wake.
2. Lissu alishamfukuza John Mnyika (Katibu mkuu wa chama chake) kuonekana kwenye kampeni zake kwa kumuhisia kuwa anahujumu kampeni zake.
3. Mbowe anajua fika kiwa Lissu hatashinda urais wa JMT. Kamuweka pale kuleta amsha amsha tu ya chama chake na kujipatia ruzuku.
4. Uwezekano wa Mbowe kupata ubunge wa Hai ni ngumu sana mwaka huu. CCM ilisha jiapisha kulichukua jimbo hilo mwaka huu ili kumshikisha adabu Mbowe. Hivyo Mbowe lazima ajichimbie jimboni humo na kupiga kampeni kwa kijiji ili asije kupata aibu hii ya kutokuwa mbunge na kupoteza hadhi yake ya KUB.
 
Lumumba safari hii lazima watembee kichwa chini miguu juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uharo
 

Tunaomba utuambie wewe maana ndo umeleta huu uzi. Je ni kweli ameamia kijijini machame?
 
Ccm mahututi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria za NEC zimebadilika bwashee ukiwa mbunge kaa kwenye mipaka yako unless ni ishu inayomhitaji kama mwenyekiti ndio anapaswa kuwepo
Mbona Kasimu Majaliwa anazunguka Nchi yote, yeye Sheria hazimuhusu?
 
Yupo jimbo la chato
 
Duu ukisikia uongo mtakatifu ndio huu,kampeni ndio kwanza hazijakolea subiri mwezi ujao watu wanakuja na mabomu ya atomic hutamtamani John. Jidanganye wewe na slow slow wako
 
Yanakuhusuje? Kule ni kwao na ni mgombea wao, wewe ni Nani Hadi umpangie aandamane na Lissu?
Fanya hivi mtani, mshauri mgombea wako aache kueneza ubaguzi!


mbna kipindi cha lowasa alikua nae kuanzia mwanzo mpaka mwisho na bado alikua mbunge tu kawaida
 
Chadema wana Team imara na madhubuti ya kampeni. Hakuna Katibu Mkuu hakuna mwenyekiti kwenye Tume ya Kampeni ila CCM wanahemea mashine dadeki.

Huwezi muona Mbowe kwenye Team ya kampeni ya Lissu maana Team imeshajitosheleza
Mbona 2015 Mbowe akikuwa bega kwa bega na Lowasa?
 
Mwenyekiti amechoka kupigwa vibomu na mgombea ,

Si unamuona akipiga miayo??
 
Leo nisikia hòtuba ya mbowe. Imejaaa madini. Top class, worĺd class.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…