Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Hili ndilo naloliano kwa Mbowe kuachilia kitu ambacho umekipigania kwa jasho na Damu tangu ujana ni ngumu
Ni Bora aimiliki Kama kampuni yake BINAFSI ambayo mkurugenzi wake ni wa maisha
Kwa miaka zaidi ya 20 Hakuona sababu ya kuandaa viongozi mwingine kwani bado gharama alizozitumia kwenye chama hajarudishiwa.
Aliwahi kutamka mara kwa Mara miaka ya 90 alitoa zaidi ya million moja kwa ajili ya chama kwa enzi hizo
Mangi atafanyaje kazi za hasara alitegemea Chadema ingeingia madarakani ingengukuwa rahisi kurudisha Gharama zake na kupata faida zaidi
Unampinga mkiti ambaye ameingia mfukoni akalipia bill mbali mbali za chama na pengine Kuna wakati unakupa fedha za kula ukiwa karibu naye
Baada ya kurudisha Gharama zake atawaachia chama na ataruhusu katiba ibane viongozi mihula ya uongozi
Inasikitisha Sana lakini hakuna namna pale tunaporuhusu kutegemea MTU badala ya mifumo ya chama