Mbowe ameijenga CHADEMA kwa jasho Damu tangu ujana, ni Mali yake hawezi kuichia kirahisi Bora isambaratike mikononi mwake

Mleta mada Huna akili kabisa

Mbowe hajaandaa viongozi , Bavicha unaifahamu vizuri au unaropoka
Uwezo wako wa akili ungekuwa vizuri ungesoma mada uelewe kwanza

Kama ameandaa viongozi mbona ana hofu ya kuachilia uongozi kwa vijana aliowandaa
Chama kina miaka 30 bado anashindwa kuamini vijana waongoze chama
 
Haujui lolote kuhusu chadema
 
Back
Top Bottom