Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jul 7, 2024 #21 Kwa tafsiri ya haraka hicho ni chama chake....au sio?!
G Gift mzalendo JF-Expert Member Joined Dec 13, 2019 Posts 1,856 Reaction score 2,417 Jul 7, 2024 Thread starter #22 kina kirefu said: Mleta mada Huna akili kabisa Mbowe hajaandaa viongozi , Bavicha unaifahamu vizuri au unaropoka Click to expand... Uwezo wako wa akili ungekuwa vizuri ungesoma mada uelewe kwanza Kama ameandaa viongozi mbona ana hofu ya kuachilia uongozi kwa vijana aliowandaa Chama kina miaka 30 bado anashindwa kuamini vijana waongoze chama
kina kirefu said: Mleta mada Huna akili kabisa Mbowe hajaandaa viongozi , Bavicha unaifahamu vizuri au unaropoka Click to expand... Uwezo wako wa akili ungekuwa vizuri ungesoma mada uelewe kwanza Kama ameandaa viongozi mbona ana hofu ya kuachilia uongozi kwa vijana aliowandaa Chama kina miaka 30 bado anashindwa kuamini vijana waongoze chama
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jul 7, 2024 #23 Gift mzalendo said: Uwezo wako wa akili ungekuwa vizuri ungesoma mada uelewe kwanza Kama ameandaa viongozi mbona ana hofu ya kuachilia uongozi kwa vijana aliowandaa Chama kina miaka 30 bado anashindwa kuamini vijana waongoze chama Click to expand... Haujui lolote kuhusu chadema
Gift mzalendo said: Uwezo wako wa akili ungekuwa vizuri ungesoma mada uelewe kwanza Kama ameandaa viongozi mbona ana hofu ya kuachilia uongozi kwa vijana aliowandaa Chama kina miaka 30 bado anashindwa kuamini vijana waongoze chama Click to expand... Haujui lolote kuhusu chadema
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,144 Reaction score 6,942 Jul 7, 2024 #24 Alipewa na baba mkwe