Uchaguzi 2020 Mbowe amekosea kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Mbowe amekosea kugombea Ubunge

Huyo Lowassa hata kuongea alikuwa hajui sijui huo u smart wake umeutoa wapi?!
Alikuwa mastermind mzuri na alikuwa anaaminika na watu makini kuanzia CCM hadi upinzani lakini huyu kibara haaminiki pia ameonyesha wazi anatumiwa na mabeberu wakina Amsterdam. Kama hujui watz hawapendi kabisa utumiwe na mabeberu! Ataisoma namba.
 
Meko akipasuliwa na Salum Mwalimu huko Kusini mwa nchi.

Matatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe.

Kukatwa kwa wagombea wengi wa CDM kwa sababu kadha wa kadha na kukosekana kwa nidhamu ya hotuba za mgombea uraisi Tundu Lissu ni baadhi ya kasoro ambazo Mwenyekiti angaliweza kuzipunguza...
Halafu wafuasi wa Lissu wanampa sifa ya akili kubwa. Mbowe kamuachia chama akiongoze katika harakati za kutafuta dola kama makamu na mgombea urais. N bahati mbaya Lissu kafeli vibaya, kwa maana hiyo hana uwezo wa uongoxi.Kinachofuata ni Mbowe kumtimua huyu Lissu maana kashindwa.

kuwavusha makamanda.
 
View attachment 1594307 tunachukua Nchi [emoji16][emoji16]

Mapema sna tunachukua nchi kabla konda hajaaamka
1602182388002.png
 
Matatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe.

Kukatwa kwa wagombea wengi wa CDM kwa sababu kadha wa kadha na kukosekana kwa nidhamu ya hotuba za mgombea uraisi Tundu Lissu ni baadhi ya kasoro ambazo Mwenyekiti angaliweza kuzipunguza.

Lisssu ana mihemko na hana timing nzuri. Kuna mambo huzungumzwa last week ya kampeni na mengine huzungumzwa mwanzoni.

Lissu amekiri kuwa Mbowe amebanwa HAI hivyo hawezi kusaidia maeneo Mengine.CCM hata mimi nisiye gwiji wa siasa niliwaza hivyo kwamba Mbowe afanyiwe siasa za kihuni Ili ashindwe kutoka Hai na niliandika hapa watu wa chadema wakanijia juuu.

Lissu hakupaswa kupita madukani magengeni na kwingineko. Lissu hakupaswa kusuguana na polisi Kiluvya. Alipaswa kuonesha ukomavu atulie
CCM chama cha kigaidi ni genge la waoga na walaji tutatumia nguvu za umma hadi tukidondoshe.
 
Alichofanya na anachofanya Lissu ni dalili ya ukomavu wa hali ya juu. Amebana matugu ya mapolisi hadi wameachia wenyewe. Asiye mkomavu hawezi hicho.

Wamemsimamisha kampeni lakini amewapiga chenga ya mwili anafanya kampeni babkubwa. Matatizo kama ya kuenguliwa yanasababishwa na tume iliyoteuliwa na mmoja wa wagombea na kufuata amri zake. Mbowe kugombea ubunge kulikuwa na umuhimu wake tu.
Jeshi la Polisi ndilo linakuhakikishia usalama wako wa maisha na mali yako. Jeshi la Polisi, chombo cha Serikali inayotuhumiwa na Lissu kupanga jaribio la kumuua, leo hii anatembea mitaani. Nani mpuuzi?
 
Alichofanya na anachofanya Lissu ni dalili ya ukomavu wa hali ya juu. Amebana matugu ya mapolisi hadi wameachia wenyewe. Asiye mkomavu hawezi hicho.

Wamemsimamisha kampeni lakini amewapiga chenga ya mwili anafanya kampeni babkubwa. Matatizo kama ya kuenguliwa yanasababishwa na tume iliyoteuliwa na mmoja wa wagombea na kufuata amri zake. Mbowe kugombea ubunge kulikuwa na umuhimu wake tu.

Bila ushabiki nadhani tume imetumia mianya iliyoachwa wazi na CHADEMA kuwaenguwa watu wake. Unapokuwa upinzani na unajuwa hakli inaminywa inatakiwa ujitayarishe kuilinda hiyo haki. Hii ina maana wagombea wanatakiwa kufuata sheria na taratibu "to the letter". Usipofanya hivyo vikosa vidogo saana vinaweza kukufanya ukaenguliwa. Kwa mfano kwa nini CHADEMA isiwe na mtu ambaye atahakii fomu zote zimejazwa inavyotakiwa ikiwa ni pamoja na kuangalia ukamilifu na ukweli kwenye fomu. Watu wengi wameenguliwa kwa makosa kidogo, ambayo CHADEMA ingekuwa makini ingerekebesha fomu kabla ya kwenda tume. Unapiokuwa na adui unatakiwa usimpe mwanya wa visigizio kama kaandika Maro bdala ya Marwa au Maro badala ya Maro. Huu mfano ni hao mkoa wa Mara . Kuna wanaotumia Jina Maro na Maro. sasa inakiwa ujuwe kitambulisho chake ni Maro au Marwa..
 
Mbowe ilikuwa LAZIMA agombee kwa sababu ndie ana-fit kwenye nafasi ya Waziri Mkuu!!
 
Matatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe.

Kukatwa kwa wagombea wengi wa CDM kwa sababu kadha wa kadha na kukosekana kwa nidhamu ya hotuba za mgombea uraisi Tundu Lissu ni baadhi ya kasoro ambazo Mwenyekiti angaliweza kuzipunguza.

Lisssu ana mihemko na hana timing nzuri. Kuna mambo huzungumzwa last week ya kampeni na mengine huzungumzwa mwanzoni.

Lissu amekiri kuwa Mbowe amebanwa HAI hivyo hawezi kusaidia maeneo Mengine.CCM hata mimi nisiye gwiji wa siasa niliwaza hivyo kwamba Mbowe afanyiwe siasa za kihuni Ili ashindwe kutoka Hai na niliandika hapa watu wa chadema wakanijia juuu.

Lissu hakupaswa kupita madukani magengeni na kwingineko. Lissu hakupaswa kusuguana na polisi Kiluvya. Alipaswa kuonesha ukomavu atulie
Chadema ni kama boti linalozama, halina dawa. Kile chama kitamfia mikononi, maana jamaa kiburi hatari. Nani atachagua mtu wa Kuja kwenye kila kampeni tu, baada ya hapo humwoni tena. Ni zaidi ya msanii.
 
Back
Top Bottom