Alikuwa mastermind mzuri na alikuwa anaaminika na watu makini kuanzia CCM hadi upinzani lakini huyu kibara haaminiki pia ameonyesha wazi anatumiwa na mabeberu wakina Amsterdam. Kama hujui watz hawapendi kabisa utumiwe na mabeberu! Ataisoma namba.Huyo Lowassa hata kuongea alikuwa hajui sijui huo u smart wake umeutoa wapi?!
Kura zenyewe za kuiba ziko wapi?Mnajidanganya kuiba kura halafu mnadhani mambo yataenda kama zamani, mtajuta, this time the whole world is watching.
Mbowe anajutia kumpa msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema
Wewe nj mwanasaccos acha uongo!Kweli mkuu,kama sisi wana CCM tunavyojuta kumpa huyu jamaa apeperushe bendera ya CCM.
Kweli mkuu,kama sisi wana CCM tunavyojuta kumpa huyu jamaa apeperushe bendera ya CCM.
Halafu wafuasi wa Lissu wanampa sifa ya akili kubwa. Mbowe kamuachia chama akiongoze katika harakati za kutafuta dola kama makamu na mgombea urais. N bahati mbaya Lissu kafeli vibaya, kwa maana hiyo hana uwezo wa uongoxi.Kinachofuata ni Mbowe kumtimua huyu Lissu maana kashindwa.Matatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe.
Kukatwa kwa wagombea wengi wa CDM kwa sababu kadha wa kadha na kukosekana kwa nidhamu ya hotuba za mgombea uraisi Tundu Lissu ni baadhi ya kasoro ambazo Mwenyekiti angaliweza kuzipunguza...
Mimi ni CCM damu damu ila sisi wazalendo wa kweli tumechoshwa na udikteta uchwara wa huyu mwenyekiti wetu mkuu.Wewe nj mwanasaccos acha uongo
Naam naona anfanya udikteta uchwara wa maemdeleoMimi ni CCM damu damu ila sisi wazalendo wa kweli tumechoshwa na udicteta uchwara wa huyu mwenyekiti wetu mkuu.
View attachment 1594307 tunachukua Nchi [emoji16][emoji16]
CCM chama cha kigaidi ni genge la waoga na walaji tutatumia nguvu za umma hadi tukidondoshe.Matatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe.
Kukatwa kwa wagombea wengi wa CDM kwa sababu kadha wa kadha na kukosekana kwa nidhamu ya hotuba za mgombea uraisi Tundu Lissu ni baadhi ya kasoro ambazo Mwenyekiti angaliweza kuzipunguza.
Lisssu ana mihemko na hana timing nzuri. Kuna mambo huzungumzwa last week ya kampeni na mengine huzungumzwa mwanzoni.
Lissu amekiri kuwa Mbowe amebanwa HAI hivyo hawezi kusaidia maeneo Mengine.CCM hata mimi nisiye gwiji wa siasa niliwaza hivyo kwamba Mbowe afanyiwe siasa za kihuni Ili ashindwe kutoka Hai na niliandika hapa watu wa chadema wakanijia juuu.
Lissu hakupaswa kupita madukani magengeni na kwingineko. Lissu hakupaswa kusuguana na polisi Kiluvya. Alipaswa kuonesha ukomavu atulie
Jeshi la Polisi ndilo linakuhakikishia usalama wako wa maisha na mali yako. Jeshi la Polisi, chombo cha Serikali inayotuhumiwa na Lissu kupanga jaribio la kumuua, leo hii anatembea mitaani. Nani mpuuzi?Alichofanya na anachofanya Lissu ni dalili ya ukomavu wa hali ya juu. Amebana matugu ya mapolisi hadi wameachia wenyewe. Asiye mkomavu hawezi hicho.
Wamemsimamisha kampeni lakini amewapiga chenga ya mwili anafanya kampeni babkubwa. Matatizo kama ya kuenguliwa yanasababishwa na tume iliyoteuliwa na mmoja wa wagombea na kufuata amri zake. Mbowe kugombea ubunge kulikuwa na umuhimu wake tu.
Alichofanya na anachofanya Lissu ni dalili ya ukomavu wa hali ya juu. Amebana matugu ya mapolisi hadi wameachia wenyewe. Asiye mkomavu hawezi hicho.
Wamemsimamisha kampeni lakini amewapiga chenga ya mwili anafanya kampeni babkubwa. Matatizo kama ya kuenguliwa yanasababishwa na tume iliyoteuliwa na mmoja wa wagombea na kufuata amri zake. Mbowe kugombea ubunge kulikuwa na umuhimu wake tu.
Chadema ni kama boti linalozama, halina dawa. Kile chama kitamfia mikononi, maana jamaa kiburi hatari. Nani atachagua mtu wa Kuja kwenye kila kampeni tu, baada ya hapo humwoni tena. Ni zaidi ya msanii.Matatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe.