johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wamekuwa wakimya mno, yakitokea mauza uza waseme kuwa hili si zuri. wamuite sirini wamwambie kuwa hili achana nalo, wanakudanganya akina wasaidizi wako!Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60
Mbowe amelishukuru Jeshi kwa Weredi na Uzalendo wake Kwa Miaka 60 sasa
Shukrani za Mbowe kazitoa Ukurasani X
Mungu wa mbinguni awabariki JWTZ 🌹
rushwa ndani ya chama??Tunampongeza japo kwa uungwana kidogo. Lakini bado hajajibu tuhuma za Lissu
Wacha tuone vijana watiifu nyuma ya key-pard wanalipi!Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60
Mbowe amelishukuru Jeshi kwa Weredi na Uzalendo wake Kwa Miaka 60 sasa
Shukrani za Mbowe kazitoa Ukurasani X
Mungu wa mbinguni awabariki JWTZ 🌹
======
Hongera kwa @jwtz_tz kwa kutimiza miaka 60 ya kujitolea na kuhudumia taifa letu. Juhudi zenu za kulinda na kutetea Tanzania ndani na nje ya nchi ni ufahari kwa watu wote. Tunawaomba muendelee kuwa mahiri na wathubutu katika kulinda misingi ya Katiba yetu na Watanzania wote kwa haki na usawa. Asanteni.
Message send to Godbless Lema na KigailaMwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60
Mbowe amelishukuru Jeshi kwa Weredi na Uzalendo wake Kwa Miaka 60 sasa
Shukrani za Mbowe kazitoa Ukurasani X
Mungu wa mbinguni awabariki JWTZ 🌹
======
Hongera kwa @jwtz_tz kwa kutimiza miaka 60 ya kujitolea na kuhudumia taifa letu. Juhudi zenu za kulinda na kutetea Tanzania ndani na nje ya nchi ni ufahari kwa watu wote. Tunawaomba muendelee kuwa mahiri na wathubutu katika kulinda misingi ya Katiba yetu na Watanzania wote kwa haki na usawa. Asanteni.
Huyu Lissu amewaingia sana maungoni mwenu bado kuwatieni mimba tu, bila kumtaja hamuoni raha.Basi ukiona hivyo lisu atawaponda JWTZ
Hapo kwenye Katiba sasa ndiyo kipengele, Katiba inavunjwa na kuchezewa na watawala sana.Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60
Mbowe amelishukuru Jeshi kwa Weredi na Uzalendo wake Kwa Miaka 60 sasa
Shukrani za Mbowe kazitoa Ukurasani X
Mungu wa mbinguni awabariki JWTZ 🌹
======
Hongera kwa @jwtz_tz kwa kutimiza miaka 60 ya kujitolea na kuhudumia taifa letu. Juhudi zenu za kulinda na kutetea Tanzania ndani na nje ya nchi ni ufahari kwa watu wote. Tunawaomba muendelee kuwa mahiri na wathubutu katika kulinda misingi ya Katiba yetu na Watanzania wote kwa haki na usawa. Asanteni.
Aende zake huko.salamu za magaidi hazina maana kwa jeshiMwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60
Mbowe amelishukuru Jeshi kwa Weredi na Uzalendo wake Kwa Miaka 60 sasa
Shukrani za Mbowe kazitoa Ukurasani X
Mungu wa mbinguni awabariki JWTZ 🌹
======
Hongera kwa @jwtz_tz kwa kutimiza miaka 60 ya kujitolea na kuhudumia taifa letu. Juhudi zenu za kulinda na kutetea Tanzania ndani na nje ya nchi ni ufahari kwa watu wote. Tunawaomba muendelee kuwa mahiri na wathubutu katika kulinda misingi ya Katiba yetu na Watanzania wote kwa haki na usawa. Asanteni.
MkambaraniAende zake huko.salamu za magaidi hazina maana kwa jeshi
ImefanyajeMkambarani
Baba yake wa ubatizo ni mwenye heri J.K.Nyerere....Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60
Mbowe amelishukuru Jeshi kwa Weredi na Uzalendo wake Kwa Miaka 60 sasa
Shukrani za Mbowe kazitoa Ukurasani X
Mungu wa mbinguni awabariki JWTZ [emoji257]
======
Hongera kwa @jwtz_tz kwa kutimiza miaka 60 ya kujitolea na kuhudumia taifa letu. Juhudi zenu za kulinda na kutetea Tanzania ndani na nje ya nchi ni ufahari kwa watu wote. Tunawaomba muendelee kuwa mahiri na wathubutu katika kulinda misingi ya Katiba yetu na Watanzania wote kwa haki na usawa. Asanteni.
Kwani yeye ametiwa mimba na rob amster?Huyu Lissu amewaingia sana maungoni mwenu bado kuwatieni mimba tu, bila kumtaja hamuoni raha.
Lisu hajui hayo kuwa baba wa ubatizo wa Mbowe ni Nyerere Mkatoliki alisimama kama baba wa ubatizo wa Mbowe MlutheriBaba yake wa ubatizo ni mwenye heri J.K.Nyerere....
Huyo mbona anajua vyema tu....
Amecheza sana pale Ikulu...
#Jeshi letu linalinda "imani takatifu" aliyotuanzishia mwenye heri[emoji2956]
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuhaBasi ukiona hivyo lisu atawaponda JWTZ
Wewe ndie waweza kuwa Juha na Lisu wakoCCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha