Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60, awashukuru kwa Uzalendo Wao wakati wote!

Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60, awashukuru kwa Uzalendo Wao wakati wote!

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60

Mbowe amelishukuru Jeshi kwa Weredi na Uzalendo wake Kwa Miaka 60 sasa

Shukrani za Mbowe kazitoa Ukurasani X

Mungu wa mbinguni awabariki JWTZ 🌹
======
Hongera kwa @jwtz_tz kwa kutimiza miaka 60 ya kujitolea na kuhudumia taifa letu. Juhudi zenu za kulinda na kutetea Tanzania ndani na nje ya nchi ni ufahari kwa watu wote. Tunawaomba muendelee kuwa mahiri na wathubutu katika kulinda misingi ya Katiba yetu na Watanzania wote kwa haki na usawa. Asanteni.

Nilitamani pia jeshi letu liingilie kati kupinga kupotea Kwa watu maana ipo siku wanaopotea watakwepo ndugu zao
 
eti uzalendo mawe, kuna uzalendo gani jeshi halijui hata jukumu lake ni lipi kutwa kupiga na kutesa raia? no discipline …
 
UZALENDO na UKOMAVU wa KISIASA safi sana Mwamba.
 
Back
Top Bottom