Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60, awashukuru kwa Uzalendo Wao wakati wote!

Nilitamani pia jeshi letu liingilie kati kupinga kupotea Kwa watu maana ipo siku wanaopotea watakwepo ndugu zao
 
eti uzalendo mawe, kuna uzalendo gani jeshi halijui hata jukumu lake ni lipi kutwa kupiga na kutesa raia? no discipline …
 
UZALENDO na UKOMAVU wa KISIASA safi sana Mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…