Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.