Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mbowe hajagoma kuachia uenyekitiIssue hapa ni democracy gani ànaitumia Mbowe kugoma kuachia uenyekiti? Siyo CAG.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe hajagoma kuachia uenyekitiIssue hapa ni democracy gani ànaitumia Mbowe kugoma kuachia uenyekiti? Siyo CAG.
Kwani kuna ukomo wa kugombea uenyekiti Chadema?Kama hamna kelele za nini?Au hamumuamini mgombea wenu?Issue hapa ni democracy gani ànaitumia Mbowe kugoma kuachia uenyekiti? Siyo CAG.
Ni kwavile wanashinda urais na mwenyekiti wa chama anakua ni rais aliyepo, hata CDM siku wakishika dola itakua hivo tuuChadema kwemye demokrasia ya uongozi ni ziro kabisa. CCM na mapungufu yake lakini kila miaka kumi kuna mwenyekiti mpya.
Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
Kama anachaguliwa na wanachama tatizo liko wapi?Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
Ccm ni madikteta na mbowe ni diktekta Hana Cha demokrasia yeyoteKama anachaguliwa na wanachama tatizo liko wapi?
Mbona ccm ipo madarakani tangu 1961! Ndio demokrasia gani sasa hii
Sio demokrasia hata mbowe ameongoza miaka 20 huyu pia ni tapeli piaCCM imeongoza Tanzania kwa miaka 63, hii ni demokrasia gani?
Vitengo vya propoganda na uzushi mmecharuka juu ya Mbowe na Chadema.Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
Naona chawa wa mbowe unaendelea kumkingia kifua tapeli mbowe safari hii hatutokubali wajinga nyie lissu asipokua mwenyekiti tunawafurumushaVitengo vya propoganda na uzushi mmecharuka juu ya Mbowe na Chadema.
Porapesa Lipumbu na John Mamose Cheyo wamekata miaka mingapi ,JKN alikaa miaka mingapi mbona hamsemi.
Lengo lenu ni kuipeleka CHADEMA vilipo CUF,NCCR,TLP na UDP mtawale bila bugudha na viongozi powa kama wa vyama hivyo.
iSio demokrasia hata mbowe ameongoza miaka 20 huyu pia ni tapeli pia
Mwl Nyerere aliongoza TANU & CCM kwa miaka mingapi !.Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
Mbowe ni tapeli naona unatetea utapeli Kwa kutaja matapeli wa nchiMwl Nyerere aliongoza TANU & CCM kwa miaka mingapi !.