Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kwamba CAG hakagui chadema miaka yoteHuyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
Tena sio poaDikteta uchwara
Unafikiri kila pesa inapitia kwenye account rasmi ? Pesa nyingine mtu anapelekewa nyumbani kwake , na hizo unataka CAG aende kukagua nyumbani kwa mtu?Wewe huna akili. Kwamba CAG hakagui chadema miaka yote
Gentleman,Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
Chadema kwemye demokrasia ya uongozi ni ziro kabisa. CCM na mapungufu yake lakini kila miaka kumi kuna mwenyekiti mpya.Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
Kwani hukumsikia akisema ‘chama changu’?😂....anafanya hiki chama kama chama chake.
Mbona hasira shida nini?Gentleman,
kwamba ombaomba la kimataifa na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndiyo mtu muhimu asie tapeli, right?🐒
sasa kama anatamka chama changu nikiona kinazamishwa naingia mzigoni, maana yake ni chama chake. Tusubiri kesho ataamua vipiHuyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
Gentleman,
kwamba ombaomba la kimataifa na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndiyo mtu muhimu asie tapeli, right?
CCM imeongoza Tanzania kwa goli la mkono bila mafanikio kwa zaidi ya umri wa kustaafu, hii ni demokrasia ya kibabe.Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
Issue hapa ni democracy gani ànaitumia Mbowe kugoma kuachia uenyekiti? Siyo CAG.CAG anafanya kazi gani??