Mbowe ameongoza CHADEMA kwa miaka 20 sasa, hii ni demokrasia gani?

Issue hapa ni democracy gani ànaitumia Mbowe kugoma kuachia uenyekiti? Siyo CAG.
Kwani kuna ukomo wa kugombea uenyekiti Chadema?Kama hamna kelele za nini?Au hamumuamini mgombea wenu?
 
Nyerere has never been quoted on kung'atuka lile now.
 
Chadema kwemye demokrasia ya uongozi ni ziro kabisa. CCM na mapungufu yake lakini kila miaka kumi kuna mwenyekiti mpya.
Ni kwavile wanashinda urais na mwenyekiti wa chama anakua ni rais aliyepo, hata CDM siku wakishika dola itakua hivo tuu
 
CCM imeongoza Tanzania kwa miaka 63, hii ni demokrasia gani?
 
Kama anachaguliwa na wanachama tatizo liko wapi?
Mbona ccm ipo madarakani tangu 1961! Ndio demokrasia gani sasa hii
 
Kama anachaguliwa na wanachama tatizo liko wapi?
Mbona ccm ipo madarakani tangu 1961! Ndio demokrasia gani sasa hii
Ccm ni madikteta na mbowe ni diktekta Hana Cha demokrasia yeyote
 
Vitengo vya propoganda na uzushi mmecharuka juu ya Mbowe na Chadema.
Porapesa Lipumbu na John Mamose Cheyo wamekata miaka mingapi ,JKN alikaa miaka mingapi mbona hamsemi.
Lengo lenu ni kuipeleka CHADEMA vilipo CUF,NCCR,TLP na UDP mtawale bila bugudha na viongozi powa kama wa vyama hivyo.
 
Naona chawa wa mbowe unaendelea kumkingia kifua tapeli mbowe safari hii hatutokubali wajinga nyie lissu asipokua mwenyekiti tunawafurumusha
 
Mwl Nyerere aliongoza TANU & CCM kwa miaka mingapi !.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…