LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Halafu unakuta mtu anae toa hoja hiyo anajiita msomi. Mnaendaga shule kukariri eti eeh?
Mtu alie ongoza Chama kwa muda mrefu tena kwa mafanikio makubwa si ndio anatakiwa kuendelea kupewa nafasi ya kuongoza kwa sababu tayari ana experience? Na amesha prove kwamba anaweza.
Mnataka learner wa nini ?
Mnataka mumtoe mtu mwenye experience mumuweke mtu ambae hana experience ili aanze mwanzo?
Uongozi wa Chama cha siasa unakuwaa wa majaribio?
Hivi kwa mfano Tanzania tukianza kutengeneza silaha za nyuklia, wewe kama waziri wa ulinzi wa nchi ukateuliwa kwenye kamati ya nyuklia ukapewa jukumu la kutafuta wataalamu wa kuja kusimamia zoezi la kutengeneza vinu vya nuklia, utaenda kumchukua amateur ( Fresh Graduate wa Barchelor Of science in Physics ) au utaenda kumchukua Proffessor wa Physics alie fanya project za nuclear kwa muda mrefu?
Even politics is science ndio maana vyuoni mnafundishwa Political Science.