Mbowe amepambana hadi tumepata Chanjo ya COVID-19; je, na Katiba mpya ataipigania kwa nguvu ile ile?

Mbowe amepambana hadi tumepata Chanjo ya COVID-19; je, na Katiba mpya ataipigania kwa nguvu ile ile?

Katiba sio mali ya Mbowe na wala haipambanii peke yake bali ni mali ya kila mtanzania hata aliyeko mirembe..

Mawazo ya kiccm kuamini katiba ni ya Mbowe ndio chanzo cha viongozi kuivunja katiba wazi wazi bila kuchukuliwa hatua yoyote maana katiba inaonekana kama gazeti la udaku
 
Wakati Freeman Mbowe anapambania chanjo ya Corona wengi walimdharau lakini serikali ikamuelewa na chanjo za hiyari zinakuja.

Katiba mpya je?

Mwamba atatuvusha?!
Kapambania chanjo kwa familia yake tu
 
Back
Top Bottom