Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na maswali ya waandishi wa habari aliyoyajibu leo ni masterclass ya siasa za upinzani katika nchi yetu. Kuongoza upinzani sio oya oya kama wengi wanavyodhani, kunahitaji utulivu akili, uvumilivu, maturity na busara kubwa sana.
Baada ya kumtilia Mbowe mashaka uwezo wake wa kuongoza kwa siku za hivi baada ya kumsikiliza kwa kina leo nimeelewa vizuri kwa nini watu wamekuwa wanamuita "mwamba wa siasa za upinzani".
Hajawa mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka yote hiyo kwa bahati au ujanja ujanja tu, anastahili heshima kubwa.