OPEN the Door
Senior Member
- Nov 15, 2024
- 170
- 84
Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe ametulia.
Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima, busara, uongozi uliotukuka.
Bila shaka wajumbe wa Mkutano Mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/01/2025.
Huo ndo ukweli. Makamu Mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.
Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.
Nawasilisha.