Pre GE2025 Mbowe ametulia, hajibu tuhuma anazitupiwa na watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima na busara ya uongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama tuhuma ni za kqeli ajibu nini?
Akijibu anapewa uthibitisho.
Abdul ana nguvu sana amemuweza mwamba
 
Hata Mzee Lowasa alitulia ila mwisho wa siku kura hazikutosha
 
Mbowe hali ni mbaya, moto anao washiwa sio wa nchi hii
 
Hata Mzee Lowasa alitulia ila mwisho wa siku kura hazikutosha
Uchaguzi ulikuwa wa haki na Demokrasia ndiyo inayomfanya kila mtu aridhike. Hayati Lowasa alijitahidi hadi wabunge wengine wa upinzani walipatikana.
 
Ni ama hana uwezo wa kujibu chochote au Lisu ana counter attack kubwa kiasi ambacho mbowe hamuwezi. Aseme suu Lisu amwage mboga. Lisu anajua Mengi. Atasema hata aliyempiga lisasi ni mbowe. Na kibao pia ni mbowe
 
Duh, sasa kama anawajua maadui zake Kwa nini anawaficha?
 
Siyo kwamba ametulia kutokana na busara zake bali hana cha kujibu.
Lakini kama ni busara, basi ndo busara hizo hizo zinazomfanya asichukue hatua kali dhidi ya dhuluma nyakati za Uchaguzi.
 
Siyo kwamba ametulia kutokana na busara zake bali hana cha kujibu.
Lakini kama ni busara, basi ndo busara hizo hizo zinazomfanya asichukue hatua kali dhidi ya dhuluma nyakati za Uchaguzi.
Ok, ngoja tusubiri wapigakura wataamua nini.
 
Nawashukuru sana baadhi ya media kv Crown na Clouds tv Kwa kumuhoji FAM na kutoa yaliyomo moyoni mwake.Ni baada ya KIMYA kingi. Sasa walio na dukuduku wameelewa dhamira na hoja ya Freeman AIKAELI Mbowe, mgombea nafasi ya mwenyekiti Chadema. Sasa ili kuleta usawa, media hizo iwaalike wagombea wengine wa nafasi hiyo.
 
SI MUDA WOTE KWENYE MAISHA TUNAHITAJI HEKIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…