Price tag unaijua?. Alishindwa kufika price tag kipindi Cha Magufuli aliyofanyiwa kila aina ya hiyana, mpka kufungiwa akaunti zake na pesa kuchukuliwa. Tusiongee ili mradi hatumpendi Mbowe, tuongee ukweli.
Ni kweli mtupu syo tu Mbowe hii nchi hakunaga mpinzani wa kweli ambaye yupo tayari kushika dola bt wote ni vibaraka wa Chama tawala hizi blah blah za mitandaoni ni kuwazuga tu wananchi bt huko nyuma, lao ni moja wanakunywa na kula bata Pamoja.