jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Alikaza ila sasa ameachia..jela kubaya sana.Price tag unaijua?. Alishindwa kufika price tag kipindi Cha Magufuli aliyofanyiwa kila aina ya hiyana, mpka kufungiwa akaunti zake na pesa kuchukuliwa. Tusiongee ili mradi hatumpendi Mbowe, tuongee ukweli.
#MaendeleoHayanaChama