Mbowe amtembelea na kumfariji Rais Samia kufuatia kufiwa na mume wake

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.

Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
IMG-20260910-WA0095.jpg
IMG-20260910-WA0081.jpg
IMG-20260910-WA0094.jpg
IMG-20260910-WA0078.jpg
 
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.

Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
View attachment 3667740View attachment 3667741View attachment 3667742View attachment 3667743
Huyu ni alikuwa Tapeli na dalali wa kisiasa
 
Mtu aliyekufunga gerezani kwa karibu mwaka mzima kwa kosa feki la ugaidi na mtu aliyeua maelfu ya Watanzania, unaenda kumtembelea kwa nini?

Hivi Mbowe keshawahi hata kutoa neno moja la pole kwa wale watoto waliouliwa Oktoba 29?

Mbowe is a piece of shit.
 
Kati y mahakamani kisutu/ukonga na zanzibar wapi mbali? Snitch.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom