Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Huruma selective.Mbowe ni mfano wa kuigwa maana kaonesha tendo la huruma kwa mwili na roho
Huyu ni alikuwa Tapeli na dalali wa kisiasaMwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.
Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
View attachment 3667740View attachment 3667741View attachment 3667742View attachment 3667743
Aliyepo gerezani ukimtembelea sio tendo la kuonesha huruma ama kujali?Mbowe ni mfano wa kuigwa maana kaonesha tendo la huruma kwa mwili na roho
La haula!!! Kafuata mwenye cheo kikubwa wala si tendo la hurumaMbowe ni mfano wa kuigwa maana kaonesha tendo la huruma kwa mwili na roho
Mfungwa alikataa mwenyewe kutembelewa usiku. Mbona Nichodemus alimtembelea Yesu usiku?Aliyepo gerezani ukimtembelea sio tendo la kuonesha huruma ama kujali?