Mbowe ana laana mbaya sana na ambayo itamgusa mpaka Baba Mwenye Nyumba

Bujibuji

huwezi kula mlungula na kumkacha bepari aliyekushibisha, wewe peke yako ushashiba na ndo mjanja unyakyusa nzima wenzako mliopewa mlungula pamoja watamchagua Betina uchaguzi mkuu wakiamini mama mkwe akipita sasa atagawa magari kabisa na si tena bajaj au bodaboda !! kalagabaho! kumbe huijui akili ya mtu mweusi masikini mwenye njaa kali!!

FYI Betina tayari ni mbunge mteule wa Mbeya mjini ni msomi na mtu mwenye uthubutu ni mpenda watu na maendeleo yao!! si kama mhuni Sugu anaejisifia kuvuta bangi, hebu pata burudani hapa chini!!

Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.

Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.

Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.

Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.

Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.

Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.

Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.

Mwisho wa ubaya aibu!!!

Malipo ni hapa duniani.

Mbowe una laana mbaya sana!!
Walijiona ni majembe wakajiona wanakubalika....aaah wapi! Nguvu ya mamba iko kumaji. Walikuwa wanabebwa na Chama chao chenye upendo na hazina ya uongozi bora Chadema.
 
Sio hakubaliki. Watanzania Sisi wambeya na huwa hatupendani. Nakwammbia mimi sio tu kwa uzoefu wa kuwajua wa huko Lakini hata huku ulaya unaweza Ona. Umbeya na majungu nk. So wala usidhani ndo akili zao. Ukiona GIggy na Amba lulu wana followers Million ndo ujue aina ya watu. Na watu hawa ndo hata kujiandikisha hawajajiandikisha.

Aidha Nenda page ya ZITTO instagram. Anashambuliwa sana tena na watu zaidi ya 300. katika comments 100. ujue 90 wanamshambulia. Swali linabaki je wamejiandikisha. Mtakaa mnalalamika sana kumbe nyie wambeya hampigi Kura Maneno mengi
Finger hiyo imewapata. Msg sent! Jiulize kama mwama wa mfalme anafanyiwa haya ndani ya chama chake tena ndani ya himaya yake ya Dar unapata ujumbe gani?? Ccm kwa tume huru inaweza isishinde hata viti 30 vya ubunge.
 
FYI Betina tayari ni mbunge mteule wa Mbeya mjini ni msomi na mtu mwenye uthubutu ni mpenda watu na maendeleo yao!! si kama mhuni Sugu anaejisifia kuvuta bangi, hebu pata burudani hapa chini!!

hiyo cha mtoto burudani ya kukata na shoka hii hapa.
 
Sio hakubaliki. Watanzania Sisi wambeya na huwa hatupendani. Nakwammbia mimi sio tu kwa uzoefu wa kuwajua wa huko Lakini hata huku ulaya unaweza Ona. Umbeya na majungu nk. So wala usidhani ndo akili zao. Ukiona GIggy na Amba lulu wana followers Million ndo ujue aina ya watu. Na watu hawa ndo hata kujiandikisha hawajajiandikisha.

Aidha Nenda page ya ZITTO instagram. Anashambuliwa sana tena na watu zaidi ya 300. katika comments 100. ujue 90 wanamshambulia. Swali linabaki je wamejiandikisha. Mtakaa mnalalamika sana kumbe nyie wambeya hampigi Kura Maneno mengi
Lakini hata huku ulaya unaweza Ona. Umbeya na majungu nk. So wala usidhani ndo akili zao. INA MAANA UTAWAHI OCTOBER UPIGE KURA BONGO AU KORONA ITAZINGUA BADO

Sent from my TECNO F2LTE using JamiiForums mobile app
 
Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.

Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.

Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.

Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.

Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.

Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.

Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.

Mwisho wa ubaya aibu!!!

Malipo ni hapa duniani.

Mbowe una laana mbaya sana!!
Hata panya wanawashangaa waliamini wangekuwa kwenye meza kuu ya karamu ya wasifu

Mbatia upo?!

Sasa ni muda wa kuwanadi wale watia nia wa upande wa upinzani
Social Media ziwatangaze kwa nguvu zote
Hili limepita msijisahau sanaaaa safari bado ndefu

Ubunge muhimu kuliko Kiti cha Enzi
 
Chadema jipangeni
Jimboni kwa Supika
Jimboni kwa wale wakuu wa Mikoa walioenguliwa leo wamerudi kwa kura kedekekede
Iringa mjini
Endelea..........
 
Makonda kaliwa kichwaaaaaaaah, yaan wajumbe wa ccm kigamboni wamejua kunifurahisha wallah, khaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.

Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.

Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.

Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.

Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.

Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.

Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.

Mwisho wa ubaya aibu!!!

Malipo ni hapa duniani.

Mbowe una laana mbaya sana!!
Katiba inaruhusu MTU kuhamia chama chochote saa yeyote , usiku au mchana.
Haya ni maneno yenu. Iweje laana tens?
Huu ni ujinga wa kutuona sisi wasomaja hatunazo.
 
Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.

Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.

Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.

Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.

Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.

Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.

Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.

Mwisho wa ubaya aibu!!!

Malipo ni hapa duniani.

Mbowe una laana mbaya sana!!
Punguza mahaba mkuu!. Ccm kongwe hawataki kuwaona "wanasiasa malaya malaya" wanaonunuliwa.
 
Wenye Chama ndy wanaamua[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu kaja juzi tu anajiona anakijua Chama kuliko wao
Lazima wakutulize

Ova
 
Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.

Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.

Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.

Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.

Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.

Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.

Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.

Mwisho wa ubaya aibu!!!

Malipo ni hapa duniani.

Mbowe una laana mbaya sana!!
Nikitaka kujiuliza #Salaryslip kapatwa na tatizo gani Leo?!?!?!!

Kalishwani mini?!?!

Hata hivi fasihi uliyoitumia kuandika tahariri hii, umeonyesha jinsi gani wewe ni hazina ya maarifa makubwa JF.

Shukran sana. Lkn kubwa zaidi ni juu ya tathmini kwa JPM. Kuwa wananchi wamempeleekea salam kuwa pamoja na kufanya political trade yaani biashara ya kununua siasa hata hivyo wananchi hawamtaki yenye, watoto wake na aliowanunua
 
Mie nimefurahi tu kwa msisitizo Mbowe ana laana hahahahaha duuuh
 
Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.

Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.

Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.

Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.

Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.

Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.

Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.

Mwisho wa ubaya aibu!!!

Malipo ni hapa duniani.

Mbowe una laana mbaya sana!!
Maamuzi ya nani agombee na nani asigombee yanategemea mwenyekiti alivyoamka wandugu
 
Back
Top Bottom