Walijiona ni majembe wakajiona wanakubalika....aaah wapi! Nguvu ya mamba iko kumaji. Walikuwa wanabebwa na Chama chao chenye upendo na hazina ya uongozi bora Chadema.Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.
Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.
Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.
Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.
Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.
Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.
Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.
Mwisho wa ubaya aibu!!!
Malipo ni hapa duniani.
Mbowe una laana mbaya sana!!
Finger hiyo imewapata. Msg sent! Jiulize kama mwama wa mfalme anafanyiwa haya ndani ya chama chake tena ndani ya himaya yake ya Dar unapata ujumbe gani?? Ccm kwa tume huru inaweza isishinde hata viti 30 vya ubunge.Sio hakubaliki. Watanzania Sisi wambeya na huwa hatupendani. Nakwammbia mimi sio tu kwa uzoefu wa kuwajua wa huko Lakini hata huku ulaya unaweza Ona. Umbeya na majungu nk. So wala usidhani ndo akili zao. Ukiona GIggy na Amba lulu wana followers Million ndo ujue aina ya watu. Na watu hawa ndo hata kujiandikisha hawajajiandikisha.
Aidha Nenda page ya ZITTO instagram. Anashambuliwa sana tena na watu zaidi ya 300. katika comments 100. ujue 90 wanamshambulia. Swali linabaki je wamejiandikisha. Mtakaa mnalalamika sana kumbe nyie wambeya hampigi Kura Maneno mengi
Amewalaani, kiswahili hakijakaa sawa.Mbowe ana laana?
Sawa hakimu wa pepo... MtakatifuHata kama wampenda kiasi gani, bila ya yeye mwenyewe kutubu dhambi zake, sala zako ni kuongea na upepo tu.
Lakini hata huku ulaya unaweza Ona. Umbeya na majungu nk. So wala usidhani ndo akili zao. INA MAANA UTAWAHI OCTOBER UPIGE KURA BONGO AU KORONA ITAZINGUA BADOSio hakubaliki. Watanzania Sisi wambeya na huwa hatupendani. Nakwammbia mimi sio tu kwa uzoefu wa kuwajua wa huko Lakini hata huku ulaya unaweza Ona. Umbeya na majungu nk. So wala usidhani ndo akili zao. Ukiona GIggy na Amba lulu wana followers Million ndo ujue aina ya watu. Na watu hawa ndo hata kujiandikisha hawajajiandikisha.
Aidha Nenda page ya ZITTO instagram. Anashambuliwa sana tena na watu zaidi ya 300. katika comments 100. ujue 90 wanamshambulia. Swali linabaki je wamejiandikisha. Mtakaa mnalalamika sana kumbe nyie wambeya hampigi Kura Maneno mengi
Hata panya wanawashangaa waliamini wangekuwa kwenye meza kuu ya karamu ya wasifuHakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.
Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.
Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.
Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.
Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.
Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.
Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.
Mwisho wa ubaya aibu!!!
Malipo ni hapa duniani.
Mbowe una laana mbaya sana!!
Usipojua neno huambiwi Maana, JIBASHITEGEKwani siku zote ulikuwahaujui kwamba Mbowe kaalaniwa, ndo umejua leo?
Hivi wewe unalijua Jina la Yesu kweli? Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako
Katiba inaruhusu MTU kuhamia chama chochote saa yeyote , usiku au mchana.Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.
Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.
Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.
Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.
Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.
Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.
Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.
Mwisho wa ubaya aibu!!!
Malipo ni hapa duniani.
Mbowe una laana mbaya sana!!
Punguza mahaba mkuu!. Ccm kongwe hawataki kuwaona "wanasiasa malaya malaya" wanaonunuliwa.Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.
Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.
Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.
Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.
Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.
Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.
Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.
Mwisho wa ubaya aibu!!!
Malipo ni hapa duniani.
Mbowe una laana mbaya sana!!
Nikitaka kujiuliza #Salaryslip kapatwa na tatizo gani Leo?!?!?!!Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.
Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba iwapo jina lake litapitishwa na vikao vya juu vya chama chake baada ya kushinda katika kura za maoni.
Pengine funzo kubwa hapa ni kwa Baba Mwenye Nyumba kuwa, watu aliowatumia karibu wote wamekataliwa; hivyo, na yeye asubiri kukataliwa na hii inaweza kuwa ni adhabu kwa matendo waliyoyafanya.
Japo ni kweli watu hawa waliumiza maelefu ya wananchi na hasa wafuasi wa CHADEMA,ila ukweli Mbowe ndie alibebeshwa mzigo mkubwa wa lawama kwa kusemwa sana huku yeye akitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha watu kuondoka CHADEMA.
Hakika Mungu amemlipa mzee wa watu alieamua kuvumilia akimwachia Mungu atende kwa kadri atavyoona inafaa na leo yametimia.
Baba Mwenye Nyumba huko uliko ninahakika aibu imekujaa na hata wewe huwez kukwepa aibu hii na huu ni mwanzo tu.
Baadhi yao walilita Taifa hasara kwa kulazimisha chaguzi za marudio, na wao pia wameambulia hasara maana ni lazima wameingia gharama fulani mpaka kufikia hatua hiyo waliyofikia.
Mwisho wa ubaya aibu!!!
Malipo ni hapa duniani.
Mbowe una laana mbaya sana!!
Maamuzi ya nani agombee na nani asigombee yanategemea mwenyekiti alivyoamka wanduguHakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni.