Mbowe ana laana mbaya sana na ambayo itamgusa mpaka Baba Mwenye Nyumba

Makonda kaliwa kichwaaaaaaaah, yaan wajumbe wa ccm kigamboni wamejua kunifurahisha wallah, khaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi wamenikera sana sanaaa!
 
Shukrani sana mkuu!

Jiwe atakuwa amejifunza kwa vitendo kupitia matokeo haya kuwa, alifanya jambo la kijinga na la kipuuzi kubariki ile biashara ya manunuzi ya wasaliti wa kisiasa..
 
Naomba utusaidie ndg List au orodha ya hao waliosaliti na walioshindwa kura za maoni. Wengine hatuko mbele sana mambo ya siasa lakini tunapenda information zaidi kuhusu hili. Asante sana.
 
Kwani alilaaniwa na nani? alikuzalia kwa mkeo au? lea mtoto kitanda hakizai haramu
Mkuu uwe mpole tu maana huyo Barbosa hajaielewa fasihi ya mtoa mada. Siyo kosa lake.Mtu mwenye laana kali ni yule ambaye kaumia moyo baada ya aliemfanyia wema kumgeuka na kumtukana au kumdhalilisha pasi na sababu. Mungu huyabeba machungu yake na kuyalipa kwa kadiri ya mapenzi yake.
 
Mawazo kama haya ya kiutopolo wenzetu huwa mnayatoa wapi? Huwezi kuwa na akili timamu ukaamini ktk haya uliyoandika.ni ya hovyo sana. Why inakuwa hivi?mnakuwa mmekunywa gongo na kuvuta bangi? Mnalipwa tsh ngapi mpaka kujiondoa akili hivi?




 
Kusema kweli hata sisi tusio na chama, tumeona jinsi viongozi wa Chadema walivyosumbuka sama wakiwa ktk shughuli zao za chama na watu wakiona wazi.Kama wananchi wakiamua kusikia hoja zao, lolote laweza kutokea ktk uchaguzi huu
Yote Tisa kumi Bashite chalii.
 
Haaaaaaaaaaaaaaa Mbowe kwishiney. Aendelee na FARU JOHN
 
Walijiona ni majembe wakajiona wanakubalika....aaah wapi! Nguvu ya mamba iko kumaji. Walikuwa wanabebwa na Chama chao chenye upendo na hazina ya uongozi bora Chadema.
Lijuakali kaambulia kura 4 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…