Lisu hana hoja ana magomvi tuLissu atafeli tu, hakuna namna.
Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa Kudumu, hivyo atajiunga na wenzake kumuhenyesha Lissu mpaka akimbie chama.
Bahati mbaya Lissu kaingia na mguu wa ugomvi akidhani yeye ndio atakuwa mfanya maamuzi wa chama, kumbe yeye atakuwa Mwenyekiti tu, maamuzi ya vikao yanafanywa na wajumbe. Technically, Mbowe atakuwa Mwenyekiti kuliko Lissu ndani ya Kamati Kuu. Huto tu hoja twa Lissu bila Mbowe na wenzake kutukubali, itakuwa ni kujilisha upepo tu.
Sasa wewe inakuuma nini?.Lisu hana hoja ana magomvi tu
Kama ujumbe ndio deal, Mbowe analazimisha uenyekiti ili iweje?Lissu atafeli tu, hakuna namna.
Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa Kudumu, hivyo atajiunga na wenzake kumuhenyesha Lissu mpaka akimbie chama.
Bahati mbaya Lissu kaingia na mguu wa ugomvi akidhani yeye ndio atakuwa mfanya maamuzi wa chama, kumbe yeye atakuwa Mwenyekiti tu, maamuzi ya vikao yanafanywa na wajumbe. Technically, Mbowe atakuwa Mwenyekiti kuliko Lissu ndani ya Kamati Kuu. Huto tu hoja twa Lissu bila Mbowe na wenzake kutukubali, itakuwa ni kujilisha upepo tu.
Kama ujumbe ndio deal, Mbowe analazimisha uenyekiti ili iweje?
Tuko na Lisu mpk mtuuwe.
Hayo ni matamanio yako,ila jaribu kuweka akiba ya maneno muda ni mwalimu mzuri sana. Wewe unasukumwa na chuki binafsi kwa Lissu kama mlivyo maccm wengi ndiyo maana unataka matamanio yako yawe ndiyo kanuni.Lissu atafeli tu, hakuna namna.
Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa Kudumu, hivyo atajiunga na wenzake kumuhenyesha Lissu mpaka akimbie chama.
Bahati mbaya Lissu kaingia na mguu wa ugomvi akidhani yeye ndio atakuwa mfanya maamuzi wa chama, kumbe yeye atakuwa Mwenyekiti tu, maamuzi ya vikao yanafanywa na wajumbe. Technically, Mbowe atakuwa Mwenyekiti kuliko Lissu ndani ya Kamati Kuu. Huto tu hoja twa Lissu bila Mbowe na wenzake kutukubali, itakuwa ni kujilisha upepo tu.
TAL atapiga mtu chini.Uchaguzi wa chama utakuwa huru na wa haki
Mbowe alijiandaa kugombea Uenyekiti tangu mwaka juzi, kwa hiyo alianza kuwapambania watu wake wapate nafasi katika ngazi za chini, I like waje wampigie kura.TAL atapiga mtu chini.
Upo but umetungiwa sheria namna ya kwenda na aina ipi ya upinzani unahitajika na wacheze kwa namna ganiTanzania hakuna upinzani ,,,,
Halazimishi chochote bali anatumia haki yake kikatiba kugombea kama afanyavyo TAL
Analazimisha vipi wakati katiba ya Chadema inamruhusu kugombea?Mnataka Lisu aachiwe ndio demokrasia?Kama ujumbe ndio deal, Mbowe analazimisha uenyekiti ili iweje?