Mbowe ana udhibiti wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ijayo ya CHADEMA, Lissu haelewani nao, atapitisha vipi hoja zake?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Lissu atafeli tu, hakuna namna.

Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa Kudumu, hivyo atajiunga na wenzake kumuhenyesha Lissu mpaka akimbie chama.

Bahati mbaya Lissu kaingia na mguu wa ugomvi akidhani yeye ndio atakuwa mfanya maamuzi wa chama, kumbe yeye atakuwa Mwenyekiti tu, maamuzi ya vikao yanafanywa na wajumbe. Technically, Mbowe atakuwa Mwenyekiti kuliko Lissu ndani ya Kamati Kuu. Huto tu hoja twa Lissu bila Mbowe na wenzake kutukubali, itakuwa ni kujilisha upepo tu.
 
Lisu hana hoja ana magomvi tu
 
Kama ujumbe ndio deal, Mbowe analazimisha uenyekiti ili iweje?
 
Hayo ni matamanio yako,ila jaribu kuweka akiba ya maneno muda ni mwalimu mzuri sana. Wewe unasukumwa na chuki binafsi kwa Lissu kama mlivyo maccm wengi ndiyo maana unataka matamanio yako yawe ndiyo kanuni.
 
TAL atapiga mtu chini.
Mbowe alijiandaa kugombea Uenyekiti tangu mwaka juzi, kwa hiyo alianza kuwapambania watu wake wapate nafasi katika ngazi za chini, I like waje wampigie kura.

Hujaona Lemma alivyokimbia? Lemma Alikuwa kambi ya Lissu, mwamba na yeye aka sponsor mtu wake, Lemma akastuka, hakugombea, jamaa akapita kama analia vile. Mshindi wa Kanda ya kaskazini ndiye alimsindikiza Mbowe kuchukua fomu.

Pia Morogoro, Lissu alikuwa na Jumbe, Mbowe Devotha Minja. Jumbe alipigwa kama paka wa baa. Kanda ya Nyasa, Msigwa yuko na Lissu, Sugu na Mbowe, matokeo yako wazi. Kwa hiyo wagombea wa kambi ya Lissu nchi nzima walikaangwa kama chips
 
A
Halazimishi chochote bali anatumia haki yake kikatiba kugombea kama afanyavyo TAL

Analazimisha!
Kwann aliaandaa karama ya mchongo eti wafuasi wa chadema wamemvamia nyumbani kwake kumlazimisha agombee uenyekiti wakati ni yeye aliwaita...alifanya hivyo kwa lengo gani?
Tapeli!
 
Kama ujumbe ndio deal, Mbowe analazimisha uenyekiti ili iweje?
Analazimisha vipi wakati katiba ya Chadema inamruhusu kugombea?Mnataka Lisu aachiwe ndio demokrasia?
Kama ni kukaa kwenye Uongozi hata Lisu amekaa miaka 15 hivyo kwa logic yenu awapishe wengine kina Odero na Mapunda.
Hivi Lisu ni dhaifu sana na hawezi kushinda kama Mbowe anagombea?Mnataka mpewe wild card ya Uenyekiti?
 
Back
Top Bottom