Kwani ninyi huwa mnapiga kura uraiani?Mbowe ndio atawapigia kura uraiani.
Kweli kabisaKama umewahi kuwa kiongozi katika ngazi yoyote basi utaelewa kwanini Mbowe bado anastahili kuwa mwenyekiti kulinganisha na Lisu.
Lema angegombea nafasi ya m/kiti na Mbowe...Lema alikuwa ni bora kuliko Mbowe kwa sasa.
Uongozi siyo lele mama,unahitaji watu walusaidie mpaka ngazi ya chini...huwezi kuongoza kwa kushutumu wenzako daily.
Namkubali Lisu ila siyo kwenye nafasi ya m/kiti. Pacome hawezi kucheza nafasi ya Diara...kila mchezaji ana nafasi yake.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Lisu anapendwa na wananchi wa kawaidaLissu atafeli tu, hakuna namna.
Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa Kudumu, hivyo atajiunga na wenzake kumuhenyesha Lissu mpaka akimbie chama.
Bahati mbaya Lissu kaingia na mguu wa ugomvi akidhani yeye ndio atakuwa mfanya maamuzi wa chama, kumbe yeye atakuwa Mwenyekiti tu, maamuzi ya vikao yanafanywa na wajumbe. Technically, Mbowe atakuwa Mwenyekiti kuliko Lissu ndani ya Kamati Kuu. Huto tu hoja twa Lissu bila Mbowe na wenzake kutukubali, itakuwa ni kujilisha upepo tu.
Lisu amepisha kwenye hiyo nafasi ambayo hajakaa miaka 15, sasa anagombea nafasi nyingine ambayo nayo ameahidi kuweka kikomo cha nafasi hizo. Una lingine?Analazimisha vipi wakati katiba ya Chadema inamruhusu kugombea?Mnataka Lisu aachiwe ndio demokrasia?
Kama ni kukaa kwenye Uongozi hata Lisu amekaa miaka 15 hivyo kwa logic yenu awapishe wengine kina Odero na Mapunda.
Hivi Lisu ni dhaifu sana na hawezi kushinda kama Mbowe anagombea?Mnataka mpewe wild card ya Uenyekiti?I
Hilo siyo tija! Ili mradi Uchaguzi uwe Huru na wa Haki.
Unaweza kupendwa na usikubalike mkuu,kuna mgombea miaka ya nyuma alilalamika kwamba hata mke wake hakumpigia kura.Lisu anapendwa na wananchi wa kawaida
kama ni haki yake sasa kwanini kwa Lisu hadi mishipa ya makalio yanawasimama je yeye hana hiyo hakiHalazimishi chochote bali anatumia haki yake kikatiba kugombea kama afanyavyo TAL
Mpitisheni Mbowe mkione cha motoUnaweza kupendwa na usikubalike mkuu,kuna mgombea miaka ya nyuma alilalamika kwamba hata mke wake hakumpigia kura.
Bahati mbaya wananchi wa kawaida hawaamui nani awe kiongozi kwenye demokrasia iliyokomaa...wanaoamua ni 'ELITE '
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kamati kuu ipi wajumbe wakamati kuu nao si ndiyo wanagombea pakuteuliwa na mwenyekiti anaruhusiwa kuwaongeza 5Lissu atafeli tu, hakuna namna.
Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa Kudumu, hivyo atajiunga na wenzake kumuhenyesha Lissu mpaka akimbie chama.
Bahati mbaya Lissu kaingia na mguu wa ugomvi akidhani yeye ndio atakuwa mfanya maamuzi wa chama, kumbe yeye atakuwa Mwenyekiti tu, maamuzi ya vikao yanafanywa na wajumbe. Technically, Mbowe atakuwa Mwenyekiti kuliko Lissu ndani ya Kamati Kuu. Huto tu hoja twa Lissu bila Mbowe na wenzake kutukubali, itakuwa ni kujilisha upepo tu.
Lissu atafeli tu, hakuna namna.

zingatia mawaidha ya mzee Azaveli Lwaitama gentleman π
azafeli kasha feli kala mtamazingatia mawaidha ya mzee Azaveli Lwaitama gentleman π
mzee Azaveli Lwaitama ndio engine ya chadema, singatieni mawaidha yake ni muhimu zaidi gentleman π
Ni kwanini wafuasi kindkindaki wa CCM humu jukwaani wanampigia sana debe Mbowe na wanamponda sana Lissu ???!Kama umewahi kuwa kiongozi katika ngazi yoyote basi utaelewa kwanini Mbowe bado anastahili kuwa mwenyekiti kulinganisha na Lisu.
Lema angegombea nafasi ya m/kiti na Mbowe...Lema alikuwa ni bora kuliko Mbowe kwa sasa.
Uongozi siyo lele mama,unahitaji watu walusaidie mpaka ngazi ya chini...huwezi kuongoza kwa kushutumu wenzako daily.
Namkubali Lisu ila siyo kwenye nafasi ya m/kiti. Pacome hawezi kucheza nafasi ya Diara...kila mchezaji ana nafasi yake.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
ni muhimu zaidi kuheshimu maoni ya wazee ndrugo zango πazafeli kasha feli
Duh !