Mbowe ana udhibiti wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ijayo ya CHADEMA, Lissu haelewani nao, atapitisha vipi hoja zake?

Kama umewahi kuwa kiongozi katika ngazi yoyote basi utaelewa kwanini Mbowe bado anastahili kuwa mwenyekiti kulinganisha na Lisu.

Lema angegombea nafasi ya m/kiti na Mbowe...Lema alikuwa ni bora kuliko Mbowe kwa sasa.

Uongozi siyo lele mama,unahitaji watu walusaidie mpaka ngazi ya chini...huwezi kuongoza kwa kushutumu wenzako daily.

Namkubali Lisu ila siyo kwenye nafasi ya m/kiti. Pacome hawezi kucheza nafasi ya Diara...kila mchezaji ana nafasi yake.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa
 
Lissu atafeli tu, hakuna namna.

Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa Kudumu, hivyo atajiunga na wenzake kumuhenyesha Lissu mpaka akimbie chama.

Bahati mbaya Lissu kaingia na mguu wa ugomvi akidhani yeye ndio atakuwa mfanya maamuzi wa chama, kumbe yeye atakuwa Mwenyekiti tu, maamuzi ya vikao yanafanywa na wajumbe. Technically, Mbowe atakuwa Mwenyekiti kuliko Lissu ndani ya Kamati Kuu. Huto tu hoja twa Lissu bila Mbowe na wenzake kutukubali, itakuwa ni kujilisha upepo tu.
Lisu anapendwa na wananchi wa kawaida
 
Analazimisha vipi wakati katiba ya Chadema inamruhusu kugombea?Mnataka Lisu aachiwe ndio demokrasia?
Kama ni kukaa kwenye Uongozi hata Lisu amekaa miaka 15 hivyo kwa logic yenu awapishe wengine kina Odero na Mapunda.
Hivi Lisu ni dhaifu sana na hawezi kushinda kama Mbowe anagombea?Mnataka mpewe wild card ya Uenyekiti?I
Lisu amepisha kwenye hiyo nafasi ambayo hajakaa miaka 15, sasa anagombea nafasi nyingine ambayo nayo ameahidi kuweka kikomo cha nafasi hizo. Una lingine?
 
Lissu atafeli tu, hakuna namna.

Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa Kudumu, hivyo atajiunga na wenzake kumuhenyesha Lissu mpaka akimbie chama.

Bahati mbaya Lissu kaingia na mguu wa ugomvi akidhani yeye ndio atakuwa mfanya maamuzi wa chama, kumbe yeye atakuwa Mwenyekiti tu, maamuzi ya vikao yanafanywa na wajumbe. Technically, Mbowe atakuwa Mwenyekiti kuliko Lissu ndani ya Kamati Kuu. Huto tu hoja twa Lissu bila Mbowe na wenzake kutukubali, itakuwa ni kujilisha upepo tu.
Kamati kuu ipi wajumbe wakamati kuu nao si ndiyo wanagombea pakuteuliwa na mwenyekiti anaruhusiwa kuwaongeza 5
 
Ukiona watu wa Chama fulani ambao ni wapinzani wenu wamekazana kumsagia kunguni mgombea mmojawapo katika wagombea wenu Ujuwe huyo ndiye anayeogopewa huko Chamani kwao 😳🤣😄 !
 
Lissu atafeli tu, hakuna namna.

Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa Kudumu, hivyo atajiunga na wenzake kumuhenyesha Lissu mpaka akimbie chama.

Bahati mbaya Lissu kaingia na mguu wa ugomvi akidhani yeye ndio atakuwa mfanya maamuzi wa chama, kumbe yeye atakuwa Mwenyekiti tu, maamuzi ya vikao yanafanywa na wajumbe. Technically, Mbowe atakuwa Mwenyekiti kuliko Lissu ndani ya Kamati Kuu. Huto tu hoja twa Lissu bila Mbowe na wenzake kutukubali, itakuwa ni kujilisha upepo tu.

Musiba SI kawaasa kukaa pembeni?

IMG_20250102_152439.jpg

Cc: Tlaatlaah
 
View attachment 3190665

Cc: Tlaatlaah
 
Kama umewahi kuwa kiongozi katika ngazi yoyote basi utaelewa kwanini Mbowe bado anastahili kuwa mwenyekiti kulinganisha na Lisu.

Lema angegombea nafasi ya m/kiti na Mbowe...Lema alikuwa ni bora kuliko Mbowe kwa sasa.

Uongozi siyo lele mama,unahitaji watu walusaidie mpaka ngazi ya chini...huwezi kuongoza kwa kushutumu wenzako daily.

Namkubali Lisu ila siyo kwenye nafasi ya m/kiti. Pacome hawezi kucheza nafasi ya Diara...kila mchezaji ana nafasi yake.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ni kwanini wafuasi kindkindaki wa CCM humu jukwaani wanampigia sana debe Mbowe na wanamponda sana Lissu ???!
😳😅🤣
 
Back
Top Bottom