Mbowe anaidai Chadema Fedha nyingi Sana, sasa kama wameshindwa kumlipa akiwa Madarakani wataweza akiondoka?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katika eneo hili la Madai ndipo namuunga mkono Mbowe awepo Mpaka akomboe Fedha zote alizoikopesha Chadema

Haiwezekani Chama kikuu Cha Upinzani kiishi kwa kutegemea fadhila za Mwenyekiti

Ndio sababu hata Tundu Lisu hataki kugombea Uenyekiti kwa sababu ya huo mziki wa Deni la Mwenyekiti

Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni🐼
 
Tunasimama na Mbowe! Awepo mpaka pesa zake zirudi😂😂😂
 
Huu uzi wa ngapi unauandika kuhusiana na Chadema kwa leo tu?
 
Unaonaje ukawa msemaji wa chama chenu, hiki Kiache kama ulivyokikuta we shwaini!
 
Basi kama ni hivyo mbona ni jambo dogo sana.Basi wote msiopenda aendelee kuwepo basi najitolea kutembeza bakuli ilialipwe mnachokijua kuwa anakidai chama,wote walio tayari na wanaofahamu anachodai kwa chama.Hapa sitarajii kumkosa Lucas,Choice,John na rafikiz zao,hapa hata covid na taraji niwaone.
 
Ila vyama vya upinzani uendeshaji wake una janja janja nyingi
 
Ina maana hili deni huwa halishi tu ,nakumbuka tangu enzi aliwazia lorry lenye vipaaza sauti za kubadikwa kwa bei ya ajab kweli kweli ,itakuwa ndio wanaendelea kulipa RIBA hadi leo aisee.SAD
 
nawe ni kibaka
 
CHADEMA ni taasisi yenye bodi ya wadhamini, inaweza kushtaki na kushtakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…