Mbowe anaidai Chadema Fedha nyingi Sana, sasa kama wameshindwa kumlipa akiwa Madarakani wataweza akiondoka?

Katika eneo hili la Madai ndipo namuunga mkono Mbowe awepo Mpaka akomboe Fedha zote alizoikopesha Chadema

Haiwezekani Chama kikuu Cha Upinzani kiishi kwa kutegemea fadhila za Mwenyekiti

Ndio sababu hata Tundu Lisu hataki kugombea Uenyekiti kwa sababu ya huo mziki wa Deni la Mwenyekiti

Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni🐼
Kukopa ni kitu cha kawaida. Si nchi tu inayokopa bali hata chama kinakopa. Kutokea sasa mjadala wa akina Kigaila wa nchi imekopa, ah, imekopa uishe kwani hata M/kiti kakikopesha chama ili kiweze kufanya shughuli zake vizuri.
 
Katika eneo hili la Madai ndipo namuunga mkono Mbowe awepo Mpaka akomboe Fedha zote alizoikopesha Chadema

Haiwezekani Chama kikuu Cha Upinzani kiishi kwa kutegemea fadhila za Mwenyekiti

Ndio sababu hata Tundu Lisu hataki kugombea Uenyekiti kwa sababu ya huo mziki wa Deni la Mwenyekiti

Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni🐼
Wewe jamaa mwongo sana. Mbowe alishalipwa siku nyingi hadai kitu Chadema.
 
Chadema inamilikiwa Kwa Hisa Sidhani kama unafahamu hilo

Hisa za Mtei anazo Mbowe

Hisa za Tuntemeke anazo Sugu

Hisa za Ngaiza.anazo Mdee

Hisa za Bob anazo Kigaila

Hisa za Ndesa anazo Lucy

Hisa za Mwakitwange anazo Mnyika

Mliobakia wote ni Wabangaizaji 🐼😂
 
Back
Top Bottom