johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Wamo wake wa Kagaila, Salum Mwalimu nk πKumbe baadhi ya wale kovid 19 ni wake wa viongozi wa cdm.
Nimesikitika sana baada ya kujua hilo.Wamo wake wa Kagaila, Salum Mwalimu nk π
Kukopa ni kitu cha kawaida. Si nchi tu inayokopa bali hata chama kinakopa. Kutokea sasa mjadala wa akina Kigaila wa nchi imekopa, ah, imekopa uishe kwani hata M/kiti kakikopesha chama ili kiweze kufanya shughuli zake vizuri.Katika eneo hili la Madai ndipo namuunga mkono Mbowe awepo Mpaka akomboe Fedha zote alizoikopesha Chadema
Haiwezekani Chama kikuu Cha Upinzani kiishi kwa kutegemea fadhila za Mwenyekiti
Ndio sababu hata Tundu Lisu hataki kugombea Uenyekiti kwa sababu ya huo mziki wa Deni la Mwenyekiti
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeniπΌ
Sio mbangaizaji mboweMbowe ukimpa pesa apeleke CHADEMA akifika huko anasema nawakopesha this much ila WACHAGA ππ
Wewe jamaa mwongo sana. Mbowe alishalipwa siku nyingi hadai kitu Chadema.Katika eneo hili la Madai ndipo namuunga mkono Mbowe awepo Mpaka akomboe Fedha zote alizoikopesha Chadema
Haiwezekani Chama kikuu Cha Upinzani kiishi kwa kutegemea fadhila za Mwenyekiti
Ndio sababu hata Tundu Lisu hataki kugombea Uenyekiti kwa sababu ya huo mziki wa Deni la Mwenyekiti
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeniπΌ
Chadema inamilikiwa Kwa Hisa Sidhani kama unafahamu hiloWewe jamaa mwongo sana. Mbowe alishalipwa siku nyingi hadai kitu Chadema.
Mwamba anapewa pesa nje kama msaada akija anasema anakkopesha chamaMbowe ukimpa pesa apeleke CHADEMA akifika huko anasema nawakopesha this much ila WACHAGA ππ