William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Baada ya hasara ya kuporwa jengo kibabe ukumbi wa mziki, kuharibiwa mashamba, kufungiwa account zake. Kufunguliwa mashitaka na kubaki hoi.
Mambo ya haki za watu kama maswala ya Arthi, Migogoro ya wafugaji, ukosefu wa Ajira, Wabunge vitimaalumu, haki za watumishi, Sera za kiuchumi, mfumuko wa bei, haki za kisiasa za mikutano na midahalo ya kisiasa sio kipa mbele cha Mbowe tena..
Mbowe sasa anatumia nguvu kubwa kuwa sawa na utawala ili uone namna ya kupata fidia ya hasara zake ata kwa kufifisha harakati za chama chake.
Ni muda muafaka sasa wa Mwanachadema mwingine au wengine kuungana kusimama na wanyonge juu ya sera za taifa ili kuufungua uchumi, kuongeza ajira na uhuru wa kisiasa.