Mbowe anajadiliana na serikali namna anaweza kufidiwa hasara zake na serikali alizozosababishiwa na Anko. Ya kitaifa yanaitaji kusukumwa mwingine tu.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Baada ya hasara ya kuporwa jengo kibabe ukumbi wa mziki, kuharibiwa mashamba, kufungiwa account zake. Kufunguliwa mashitaka na kubaki hoi.

Mambo ya haki za watu kama maswala ya Arthi, Migogoro ya wafugaji, ukosefu wa Ajira, Wabunge vitimaalumu, haki za watumishi, Sera za kiuchumi, mfumuko wa bei, haki za kisiasa za mikutano na midahalo ya kisiasa sio kipa mbele cha Mbowe tena..

Mbowe sasa anatumia nguvu kubwa kuwa sawa na utawala ili uone namna ya kupata fidia ya hasara zake ata kwa kufifisha harakati za chama chake.

Ni muda muafaka sasa wa Mwanachadema mwingine au wengine kuungana kusimama na wanyonge juu ya sera za taifa ili kuufungua uchumi, kuongeza ajira na uhuru wa kisiasa.
 
Nshomile kwenye ubora wako.

Maridhiano Yana faida.

Kelele zetu zinatosha, mbona tupo wengi tunaoipenda Nchi yetu?
 
Nampongeza sana kwakweli ili apumzike kuwapigania Maiti na wanafki tuliolala.

Angalie maslahi yake na watoto wake Ova..!
 
Kuua ile Bilicanas kumesababisha nchi irudi nyuma. Aina ile ya uwekezaji katika ya mji ilikuwa na manufaa makubwa na mapana kwa nchi lakini awamu ya tano iliamua kuichelewesha nchi isifunguke na kufaidi faida mtambuka za aina ya uwekezaji wa Bilicanas.

JIJI LETU LA DAR ES SALAAM:

Mji wa Dar es Salaam wakati wa wajanja kabla ya awamu ya tano ilikuwa inaelekea kuwa kama Las Vegas Nevada Marekani na watu wengi wangetutembelea wa kutoka nje ya nchi na hata mikoani kuja kutumbua na kuchangia uchumi wa sekta ya entertainment.

 
Weka ushahidi we kapuku wa akili , mmetapeliwa nyongeza ya mishahara mnatafuta pa kujificha , Masikini wakubwa nyie !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…