Haumtendei haki Mbowe. Wenye wajibu ni wale ambao kwenye madaraka. Sijamsikia hata mmoja akikemea fukuza fukuza inayoendelea kwenye matawi. Au akitaka kupata upatanishi na G-55. Badala yake wanawatukana na kuwabeza jukwaani watu ambao walikuwa pamoja katika chama kwa muda mrefu na wanajua mchango wao.
Wengine walimpinga Lissu kwa kuamini kuwa sio mtu sahihi kuongoza chama chao. Hawawezi kugeuka ghafla na kuanza kumuimbia mapambio kinafik. Uamuzi wao wa kukaa pembeni ni sahihi maana wanawachia walioshinda nafasi ya kuonyesha kuwa wanastahili nafasi zao.
Chama chenye wanachama mamilioni bila shaka kina watu mahiri wanaoweza kuziba pengo ( kama lipo) watakaloliacha. Sasa hivi Chadema inatakiwa kuheshimu maamuzi ya waliokaa pembeni na wale waliotoka kwenye chama. Matusi na kejeli zinathibitisha tu usahihi wa maamuzi yao.
Amandla...
😂😂😂BY THIS, YOU ARE STUPID WITH YOUR ARTICLE, NOT WORTH reading!
Mbowe ndio mjumbe pekee wa Kamati Kuu? Na huo ujumbe ameupata kutokana na wadhfa aliokuwa nao na si kwa kupigiwa kura au kuteuliwa. Kwa nini ajiunge katika operesheni ambazo hakubaliani nazo? Mmesahau jinsi Lissu alivyokuwa anakataa wazi wazi kuunga mkono mkakati wa maridhiano? Na hakujihusisha katika kampeni za mwaka 2024 kwa sababu alisema chama chake hakijajitayarisha. Kuna wakati chama chake kilitangaza kuwa kutakuwa na kikao cha KK. Siku ya kikao Lissu akaitisha presa akiwa Singida! Yote hayo mmeyasahau?Hata Mbowe bado ni kiongozi ndani ya CHADEMA. Kwani hujui kuwa yeye bado ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu?. Kwa nini hajitokezi katika operesheni za chama?.
Hivi mnataka Mbowe aseme nini wakati mlimuandama na matusi ilipojulikana kuwa alienda kumtembelea Lissu akiwa gerezani. Si Heche au Mnyika aliyekemea matusi yale na kumtetea kuwa alikuwa na haki ya kumtembelea Lissu na wala hakuwa na nia mbaya.Kwani Mbowe hajui kuwa Mwenyekiti yuko ndani, Msajili kamkataa katibu mkuu, na makamu mwenyekiti anapokea vitisho kila kukicha, kwa nini hajitokezi na kutoa kauli ya kumotivate wanachama wakiunge mkono chama chao na kukipigania chama katika kipindi hiki kigumu chama kinapopata mashambulizi kutoka kwa dola kutoka kila kona?
Africa tuna shida sana kwenye "succession plans". Hili ni tatizo kubwa sana sana kwenye familia, biashara, taasisi na serikalini.Kwanini Mbowe alaumiwe kwa makosa ya wengine? Unapaswa kumshukuru Mbowe kwa kujenga chama kikubwa cha upinzani kuwahi kutokea Tanzania na sio vinginevyo!
Well saidKuna matz majinga mmno tena mapumbafu, ni mambea, yamejawa fitina,chuki na uzushi,ni manafiki na maropokaji, yamejawa matusi na madharau, ni mabinafsi, ni maoga, yanategemea binaadamu wenzao badala ya kumtegemea Mungu, ya napenda yajifiche wengine wayafanyie kazi nk. nk.
Mmemshutumu mtu kulamba asali/kununulika na kuisaliti chama Leo ametulia kuwaachia ninyi msolamba asali mnaanza kumlalamikia na kumpamba miguu eti arekebishe mnapochemka!! Mnatumia akili?
Hujawahi kusikia hata mnaowachjkia mf. Ccm mwenyekiti mpya na timu yake wakimshutumu na kumtusi mtangulizi wake katika kampeni.
Lissu,kiLema et al walipaswa kuheshimu kazi ya mtangulizi wao Mbowe na kutomzushia ubaya na kumfanyia kebehi!
Lissu,Lema nawenzie niwazi hawatoweza kufanikiwa vyema maana niwatu wa Hila na wasio na fadhila.
Mbowe yukosawa kutulia na kuwaachia chama Hawa wanasiasa uchwara wanajidai wababe,wahuni na eti watoto wa mjini!
Hivi kweli Lema,sugu,Heche ama mnyika naakili zabangi ndiyo wataikomboa chadema? Kwa busara gani hasa?
Ukiwa timamu utaona wazi wao wenyewe watavurugana siku si nyingi nahapo chama kitaishiwa haswaaa
Uongozi ni mjumuiko wa karama,busara,taaluma,subira,mwendelezo,ubunifu nk.
Mbowe ndio mjumbe pekee wa Kamati Kuu? Na huo ujumbe ameupata kutokana na wadhfa aliokuwa nao na si kwa kupigiwa kura au kuteuliwa. Kwa nini ajiunge katika operesheni ambazo hakubaliani nazo? Mmesahau jinsi Lissu alivyokuwa anakataa wazi wazi kuunga mkono mkakati wa maridhiano? Na hakujihusisha katika kampeni za mwaka 2024 kwa sababu alisema chama chake hakijajitayarisha. Kuna wakati chama chake kilitangaza kuwa kutakuwa na kikao cha KK. Siku ya kikao Lissu akaitisha presa akiwa Singida! Yote hayo mmeyasahau?
Hivi mnataka Mbowe aseme nini wakati mlimuandama na matusi ilipojulikana kuwa alienda kumtembelea Lissu akiwa gerezani. Si Heche au Mnyika aliyekemea matusi yale na kumtetea kuwa alikuwa na haki ya kumtembelea Lissu na wala hakuwa na nia mbaya.
Sera ya siasa za nginja nginja ni za uongozi wa sasa na sio wa Mbowe. Walitakiwa wawe wamejipanga kukabiliana nayo.
Wenye wajibu wa kukiunganisha chama dhidi ya changamoto wanazopitia sasa ni uongozi uliopo madarakani. Madala yake wanawatenga na kuwafukuza wapambanaji wenye experience ya mapambano kama hiyo. Mbowe si mnafik. Pambaneni wenyewe. Mkishinda tutawapa pongezi mnazo stahili.
Amandla...
Hoja ya matusi sijui katukanwa sana ni hoja ya "kimahusiano" zaidi, si hoja ya mtu aliyekomaa kichwani na kuwa na hekima, akili, busara na werevu mkubwa.Mbowe ndio mjumbe pekee wa Kamati Kuu? Na huo ujumbe ameupata kutokana na wadhfa aliokuwa nao na si kwa kupigiwa kura au kuteuliwa. Kwa nini ajiunge katika operesheni ambazo hakubaliani nazo? Mmesahau jinsi Lissu alivyokuwa anakataa wazi wazi kuunga mkono mkakati wa maridhiano? Na hakujihusisha katika kampeni za mwaka 2024 kwa sababu alisema chama chake hakijajitayarisha. Kuna wakati chama chake kilitangaza kuwa kutakuwa na kikao cha KK. Siku ya kikao Lissu akaitisha presa akiwa Singida! Yote hayo mmeyasahau?
Hivi mnataka Mbowe aseme nini wakati mlimuandama na matusi ilipojulikana kuwa alienda kumtembelea Lissu akiwa gerezani. Si Heche au Mnyika aliyekemea matusi yale na kumtetea kuwa alikuwa na haki ya kumtembelea Lissu na wala hakuwa na nia mbaya.
Sera ya siasa za nginja nginja ni za uongozi wa sasa na sio wa Mbowe. Walitakiwa wawe wamejipanga kukabiliana nayo.
Wenye wajibu wa kukiunganisha chama dhidi ya changamoto wanazopitia sasa ni uongozi uliopo madarakani. Madala yake wanawatenga na kuwafukuza wapambanaji wenye experience ya mapambano kama hiyo. Mbowe si mnafik. Pambaneni wenyewe. Mkishinda tutawapa pongezi mnazo stahili.
Amandla...
Hatari MAHANJUHili halina shaka hata kidogo. Kisingizio chao kikubwa eti Mbowe alitukanwa sana. Kuna mwanasiasa duniani hajawahi kutukanwa?. Nyerere alitukanwa, Mwinyi alitukanwa, Malechela, Kikwete, Magufuli, Lissu naye katukanwa sana na vijana wa Mbowe. Sasa kutukanwa katika siasa ndo iwe sababu ya kutoisadia taasisi kupambana na vitimbwi vya dola vindemolition, kuiua taasisi?.
Anachokifanya Mbowe ni roho mbaya, ukatili na ubinafsi wa kutisha dhidi ya Watanzania.
Watanzania walimuamini sana, leo hii inasikitisha anapokaa pembeni huku akiona taasisi iliyojengwa kwa jasho machozi na damu ikifanyiwa controlled demolition halafu yeye kajiweka pembeni kama vile haimuhusu.
Najua atajiweka pembeni mpaka pale dola iltakapokuwa imefanikisha lengo lake la kuikata miguu CHADEMA halafu yeye ndo atajitokeza kama saviour. Lengo ni kuudilute na kuudhofisha uongozi wa Lissu usiweze kusimama imara kupigania reforms zozote za maana nchini.
Mnafanana na wauwaji, Mbowe mmeshamtoa kama kibaka na mkamweka Lissu, leo mmeachana na Lissu mmemrudia tena Mbowe, nyie ni wauwaji MAHANJUBonjour wanabodi!
MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA.
Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo.
Yeye alikua kiongozi mkuu wa chama aliyeongoza jahazi kwenye mapambano dhidi ya CCM ingawa alishafikia Compromise (kulamba asali) kwa lugha laini ya 4Rs. Mzee Baba alikuwa mtu wa kelele nyingi, watawala ikimuita wayamalize analegea analamba halua anatulia huku nje utamsikia "No hate, No fear".
KWANINI MBOWE ANASTAHILI LAWAMA?
•Hakuna asiyejua vuguvugu la hawa G-55 kuondoka CHADEMA chanzo ni Uchaguzi ndani ya chama ambapo kundi la Waliokua wakimuunga mkono Mbowe baada ya kushindwa kuamua kutokwenda pamoja na uongozi uliopo chini ya Mwenyekiti mpya Wakili Tundu Lissu.
•Mh Mbowe alijua kabisa mwaka 2024 ilikua lazima kuwepo na Uchaguzi wa ndani ya Chama, kama mwenyekiti alipaswa kufanya maandalizi mapema. Nia ya yeye kugombea au kutogombea ilitakiwa ijulikane na mifumo ya ndani ya taasisi.
Hii ni kutokana na nguvu yake ndani ya chama na ambaye angejitokeza kugombea naye ikiwa naye ana nguvu, maana yake ni lazima yangetokea makundi mawili ndani ya chama. Kama kweli Mwamba ana akili na kama alikua na dhamira yakweli ya kukijenga chama alipaswa alijue hili mapema ili kukilinda chama.
MBOWE Vs LISSU KABLA YA UCHAGUZI WA CHAMA.
•Sote tunakumbuka jinsi yalivyoibuka mashambulio makali baina ya magwiji hawa wawili wa kisiasa kupitia media mbalimbali kabla ya uchaguzi kwa maana ya kampeni kwa kila upande. Kama siyo wao wenyewe kushambuliana basi ni makundi yao ya ushawishi ndani ya chama yalishambuliana. Katika hali ya kawaida, baada ya uchaguzi ilikua ni lazima uhasama na visasi viendelee ikiwa tahadhari haitachukuliwa mapema na wajibu huu ulikua ni wa mwenyekiti mwemye na baraza lake la wazee wa kumshauri.
Unaweza kuhisi ni uzembe wa uongozi uliopo kushindwa kuyaweka makundi haya pamoja lakini si kazi rahisi hivyo kwa jinsi walivyojeruhiana, ni kazi ambayo pengine ingechukua hata mwaka mzima kukaa sawa. Imagine Uchaguzi umeisha tar 22/01/2025 kisha baada ya miezi 3 baadaye Chief Comforter wa Chama ambaye ni mwenyekiti akakamatwa kwa kesi kubwa ya uhaini, hapo hapo agenda NRNE inahitaji kutembea, mabadiliko ya mifumo ya uendeshaji ndani ya chama yaendane na uongozi mpya yalihitajika. Hivyo kuzuia hili kundi lililoshindwa kuanza kuonesha hisia zake mapema hivi isingewezekana. Kumlaumu Mhe Lissu ni kosa kubwa sana labda uwe na akili ya kulimia bamia na mchicha tu.
BADO NAMLAUMU MBOWE
•Mhe Mbowe mpaka miezi 3 kabla ya Uchaguzi alikua bado hajaonesha nia ya kurudi kugombea tena nafasi hii ya juu ya uenyekiti wa Chama lakini aliyekua Makamu wake Mh Lissu alikua ameshaonesha nia ya kugombea tena nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama. Hii hali ya ukimya wa Mbowe hata alipoulizwa hakujibu ulikua Ujuha na usaliti wa hali ya juu ndani ya chama.
Ilikua lazima Watu makini ndani ya Chama waanze kujiuliza ikiwa Mwamba hatagombea anayekuja kugombea ni nani? Ana ushawishi ndani ya chama? Falsafa na tamaduni za chama ameiva nazo? Kwa sababu ndani ya CHADEMA ukimtoa Mhe Mbowe kwenye Ushawishi anayefuata ni Mhe Lissu. Hii hali pia ilipelekea watu kuanza kumfikiria Lissu ikiwa Mbowe hatagombea na walianza kujijengea hivyo mapema na ndio maana haikua ngumu kumshawishi agombee baadaye hata Mbowe aliposema familia yake imemshauri agombee.
•Ikumbukwe kuna hadi viongozi wa dini walihusika kuwakutanisha hawa mafahali wawili ili mmoja wao agombee uenyekiti na mwingine baadaye Urais wa nchi hapo baadaye. Lakini Mbowe alikataa kata kata kuonesha nia yake ya kugombea either nafasi ya uwenyekiti ndani ya chama au Urais baadaye. Muda huu wote Mhe Lissu alikua tayari kwa nafasi yeyote ambayo mwenyekiti Mbowe hataigombea, tatizo Mbowe hakua muwazi na ndiko ugumu wa mambo ulipoanza na ndio matokeo yake haya yanayoendelea leo kwenye Chama. Hivi kwa hali hii alaumiwe Lissu kwa lipi kama si Mbowe?
•Katika mgawanyiko wowote unapotokea ndipo adui hupenyeza, hapa ndio paliikuwa patamu kwa CCM kujipigia wanavyotaka.Wewe umekutwa upo katika hali ya majonzi ya kushindwa unapoozwa unapewa pole ya pesa, unaahidiwa cheo na maisha mazuri baadaye, hivi kwa misimamo ya hao wanaume ambao baadhi wake zao ni miongoni mwa COVID-19 wangekataa hizo ofa za adui?
•Yote tisa, kumi Mhe Mbowe alikua na uwezo wa kuepusha haya yote lakini mzee Baba kala jiwe mtajuana wenyewe dadadeki.
NINI KILIMSUKUMA LISSU KUGOMBEA UWENYEKITI CHADEMA?
•Hili liko wazi hata yeye alibainisha. Ilikua ni Utashi wake yeye pamoja na ushawishi wa wanachama baada ya Princess kupelekwa nyumbani kwake na moja ya maofisa wa juu wa chama na kumtaka apunguze volume ya sauti yake kwenye Public ili apate kumneemesha kwa vitu vitamu vitamu na laini, hii ilimtia wasi wasi mhe Lissu kama chama kitakua salama.
Mbaya zaidi aliyempeleka Princess Abdallah nyumbani kwake ni huyu anayetaka nafasi yake ya umakamu mwemyekiti. Mhe Tundu kwa jinsi anavyokipenda chama na hapendi hongo aliona moja kwa moja kwamba chama hakipo salama na huyo Afisa wa juu wa chama anayeutaka umakamu mwemyekiti na amempeleka Princess nyumbani kwake, moja kwa moja Mhe Mwemyekiti aliyekuwepo madarakani lazima atakua kamtuma na ulikuwa ndio mpango wake na yawezekana yeye kula vitamu vitamu alishaanza kitambo.
Hivyo kwa hali hii ilikua ni sababu tosha kwa mhe Lissu kugombea uwenyekiti na nafsi iliyokua agombee awali ya umakamu mwemyekiti agombee Mhe Heche ambaye kidogo kwa sifa wanakaeibiana na ushawishi pia anao kwa kuzingatia historia yake ya uongozi ndani ya chama.
HITIMISHO
Unaweza kuhisi siyo sawa kumlaumu Mhe Mbowe kwa kazi aliyoifanya ya kukijenga CHADEMA lakini yeye pia ndio chanzo cha yanayoendelea. Alikua na uwezo kabisa wa kuita kambi yake na kuwaelekeza kuunga mkono Mwemyekiti mpyq katika kukijenga Chama zaidi kua pamoja katika ajenda yao kuu ya NRNE kwa sasa.
Kukaa kwake kimya lazima alaumiwe na ni tafsiri ya kwamba yupo nyuma ya yanayoendelea. Kama hayupo nyuma ya yanayoendelea kama kiongozi mstaafu na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu alikua uwezo wa kukinusuru na kukilinda Chama chake pendwa. Yawezekana kwa sasa amekichukia Chama kwa sababu tu ya kushindwa uchaguzi wala hakuna kingine.
UmemalizaaaMbowe ndio mjumbe pekee wa Kamati Kuu? Na huo ujumbe ameupata kutokana na wadhfa aliokuwa nao na si kwa kupigiwa kura au kuteuliwa. Kwa nini ajiunge katika operesheni ambazo hakubaliani nazo? Mmesahau jinsi Lissu alivyokuwa anakataa wazi wazi kuunga mkono mkakati wa maridhiano? Na hakujihusisha katika kampeni za mwaka 2024 kwa sababu alisema chama chake hakijajitayarisha. Kuna wakati chama chake kilitangaza kuwa kutakuwa na kikao cha KK. Siku ya kikao Lissu akaitisha presa akiwa Singida! Yote hayo mmeyasahau?
Hivi mnataka Mbowe aseme nini wakati mlimuandama na matusi ilipojulikana kuwa alienda kumtembelea Lissu akiwa gerezani. Si Heche au Mnyika aliyekemea matusi yale na kumtetea kuwa alikuwa na haki ya kumtembelea Lissu na wala hakuwa na nia mbaya.
Sera ya siasa za nginja nginja ni za uongozi wa sasa na sio wa Mbowe. Walitakiwa wawe wamejipanga kukabiliana nayo.
Wenye wajibu wa kukiunganisha chama dhidi ya changamoto wanazopitia sasa ni uongozi uliopo madarakani. Madala yake wanawatenga na kuwafukuza wapambanaji wenye experience ya mapambano kama hiyo. Mbowe si mnafik. Pambaneni wenyewe. Mkishinda tutawapa pongezi mnazo stahili.
Amandla...
Hapana. Kutayarisha taasisi imara ni kuweka watendaji wenye uwezo wa kuisimamia na kuiongoza wakati wewe haupo. Sasa kama utawala ulioingia inawaweka pembeni wote ambao walikuwa na uzoefu wa kuiendesha, unategemea nini? Mambo kama haya yametokea Marekani ambako Musk alifukuza watu bila kujua umuhimu wao katika hizo taasisi. Haikuchukua muda akawaomba warudi tena. Ndicho walichofanya wakina Mnyika. Palitakiwa kuwa na transition period lakini inaelekea kaikuwepo.Hoja ya matusi sijui katukanwa sana ni hoja ya "kimahusiano" zaidi, si hoja ya mtu aliyekomaa kichwani na kuwa na hekima, akili, busara na werevu mkubwa.
Hoja ya msingi ni kushindwa kwa Mbowe kutengeneza taasisi imara badala yake akajitengeneza yeye kuwa "mungu mtu".
Aliyekubaliana na Mbowe kuwa anatoa pesa yake mfukoni kwa ajili ya kuendesha chama naye ameshiriki katika hii hali ya kumtengeneza kuwa "mungu mtu" kwa baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wakiamini maisha ya siasa bila Mbowe kuwa kitini, hayatakuwa safi.
Leo hii kuna mamia ya wana CDM ambao walikuwa ni wanufaika wa moja kwa moja na uwenyekiti wa Mbowe ambao ndio wanaoona maisha yao bila ya Mbowe hayataenda vyema.
Vita dhidi ya kuidhoofisha CHADEMA ni ile ile, utofauti ni anayeongoza hayo mapambano.Hata Mbowe bado ni kiongozi ndani ya CHADEMA. Kwani hujui kuwa yeye bado ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu?. Kwa nini hajitokezi katika operesheni za chama?.
Kwani Mbowe hajui kuwa Mwenyekiti wa chama yuko ndani, Msajili kamkataa katibu mkuu, na makamu mwenyekiti anapokea vitisho kila kukicha, kwa nini hajitokezi na kutoa kauli ya kumotivate wanachama wakiunge mkono chama chao na kukipigania chama katika kipindi hiki kigumu chama kinapopata mashambulizi kutoka kwa dola kutoka kila kona?
Hata Mbowe bado ni kiongozi ndani ya CHADEMA. Kwani hujui kuwa yeye bado ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu?. Kwa nini hajitokezi katika operesheni za chama?.
Kwani Mbowe hajui kuwa Mwenyekiti wa chama yuko ndani, Msajili kamkataa katibu mkuu, na makamu mwenyekiti anapokea vitisho kila kukicha, kwa nini hajitokezi na kutoa kauli ya kumotivate wanachama wakiunge mkono chama chao na kukipigania chama katika kipindi hiki kigumu chama kinapopata mashambulizi kutoka kwa dola kutoka kila kona?
Mwisho wa ubaya ni aibu. Mbowe atavuna alichopanda.Bonjour wanabodi!
MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA.
Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo.
Yeye alikua kiongozi mkuu wa chama aliyeongoza jahazi kwenye mapambano dhidi ya CCM ingawa alishafikia Compromise (kulamba asali) kwa lugha laini ya 4Rs. Mzee Baba alikuwa mtu wa kelele nyingi, watawala ikimuita wayamalize analegea analamba halua anatulia huku nje utamsikia "No hate, No fear".
KWANINI MBOWE ANASTAHILI LAWAMA?
•Hakuna asiyejua vuguvugu la hawa G-55 kuondoka CHADEMA chanzo ni Uchaguzi ndani ya chama ambapo kundi la Waliokua wakimuunga mkono Mbowe baada ya kushindwa kuamua kutokwenda pamoja na uongozi uliopo chini ya Mwenyekiti mpya Wakili Tundu Lissu.
•Mh Mbowe alijua kabisa mwaka 2024 ilikua lazima kuwepo na Uchaguzi wa ndani ya Chama, kama mwenyekiti alipaswa kufanya maandalizi mapema. Nia ya yeye kugombea au kutogombea ilitakiwa ijulikane na mifumo ya ndani ya taasisi.
Hii ni kutokana na nguvu yake ndani ya chama na ambaye angejitokeza kugombea naye ikiwa naye ana nguvu, maana yake ni lazima yangetokea makundi mawili ndani ya chama. Kama kweli Mwamba ana akili na kama alikua na dhamira yakweli ya kukijenga chama alipaswa alijue hili mapema ili kukilinda chama.
MBOWE Vs LISSU KABLA YA UCHAGUZI WA CHAMA.
•Sote tunakumbuka jinsi yalivyoibuka mashambulio makali baina ya magwiji hawa wawili wa kisiasa kupitia media mbalimbali kabla ya uchaguzi kwa maana ya kampeni kwa kila upande. Kama siyo wao wenyewe kushambuliana basi ni makundi yao ya ushawishi ndani ya chama yalishambuliana. Katika hali ya kawaida, baada ya uchaguzi ilikua ni lazima uhasama na visasi viendelee ikiwa tahadhari haitachukuliwa mapema na wajibu huu ulikua ni wa mwenyekiti mwemye na baraza lake la wazee wa kumshauri.
Unaweza kuhisi ni uzembe wa uongozi uliopo kushindwa kuyaweka makundi haya pamoja lakini si kazi rahisi hivyo kwa jinsi walivyojeruhiana, ni kazi ambayo pengine ingechukua hata mwaka mzima kukaa sawa. Imagine Uchaguzi umeisha tar 22/01/2025 kisha baada ya miezi 3 baadaye Chief Comforter wa Chama ambaye ni mwenyekiti akakamatwa kwa kesi kubwa ya uhaini, hapo hapo agenda NRNE inahitaji kutembea, mabadiliko ya mifumo ya uendeshaji ndani ya chama yaendane na uongozi mpya yalihitajika. Hivyo kuzuia hili kundi lililoshindwa kuanza kuonesha hisia zake mapema hivi isingewezekana. Kumlaumu Mhe Lissu ni kosa kubwa sana labda uwe na akili ya kulimia bamia na mchicha tu.
BADO NAMLAUMU MBOWE
•Mhe Mbowe mpaka miezi 3 kabla ya Uchaguzi alikua bado hajaonesha nia ya kurudi kugombea tena nafasi hii ya juu ya uenyekiti wa Chama lakini aliyekua Makamu wake Mh Lissu alikua ameshaonesha nia ya kugombea tena nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama. Hii hali ya ukimya wa Mbowe hata alipoulizwa hakujibu ulikua Ujuha na usaliti wa hali ya juu ndani ya chama.
Ilikua lazima Watu makini ndani ya Chama waanze kujiuliza ikiwa Mwamba hatagombea anayekuja kugombea ni nani? Ana ushawishi ndani ya chama? Falsafa na tamaduni za chama ameiva nazo? Kwa sababu ndani ya CHADEMA ukimtoa Mhe Mbowe kwenye Ushawishi anayefuata ni Mhe Lissu. Hii hali pia ilipelekea watu kuanza kumfikiria Lissu ikiwa Mbowe hatagombea na walianza kujijengea hivyo mapema na ndio maana haikua ngumu kumshawishi agombee baadaye hata Mbowe aliposema familia yake imemshauri agombee.
•Ikumbukwe kuna hadi viongozi wa dini walihusika kuwakutanisha hawa mafahali wawili ili mmoja wao agombee uenyekiti na mwingine baadaye Urais wa nchi hapo baadaye. Lakini Mbowe alikataa kata kata kuonesha nia yake ya kugombea either nafasi ya uwenyekiti ndani ya chama au Urais baadaye. Muda huu wote Mhe Lissu alikua tayari kwa nafasi yeyote ambayo mwenyekiti Mbowe hataigombea, tatizo Mbowe hakua muwazi na ndiko ugumu wa mambo ulipoanza na ndio matokeo yake haya yanayoendelea leo kwenye Chama. Hivi kwa hali hii alaumiwe Lissu kwa lipi kama si Mbowe?
•Katika mgawanyiko wowote unapotokea ndipo adui hupenyeza, hapa ndio paliikuwa patamu kwa CCM kujipigia wanavyotaka.Wewe umekutwa upo katika hali ya majonzi ya kushindwa unapoozwa unapewa pole ya pesa, unaahidiwa cheo na maisha mazuri baadaye, hivi kwa misimamo ya hao wanaume ambao baadhi wake zao ni miongoni mwa COVID-19 wangekataa hizo ofa za adui?
•Yote tisa, kumi Mhe Mbowe alikua na uwezo wa kuepusha haya yote lakini mzee Baba kala jiwe mtajuana wenyewe dadadeki.
NINI KILIMSUKUMA LISSU KUGOMBEA UWENYEKITI CHADEMA?
•Hili liko wazi hata yeye alibainisha. Ilikua ni Utashi wake yeye pamoja na ushawishi wa wanachama baada ya Princess kupelekwa nyumbani kwake na moja ya maofisa wa juu wa chama na kumtaka apunguze volume ya sauti yake kwenye Public ili apate kumneemesha kwa vitu vitamu vitamu na laini, hii ilimtia wasi wasi mhe Lissu kama chama kitakua salama.
Mbaya zaidi aliyempeleka Princess Abdallah nyumbani kwake ni huyu anayetaka nafasi yake ya umakamu mwemyekiti. Mhe Tundu kwa jinsi anavyokipenda chama na hapendi hongo aliona moja kwa moja kwamba chama hakipo salama na huyo Afisa wa juu wa chama anayeutaka umakamu mwemyekiti na amempeleka Princess nyumbani kwake, moja kwa moja Mhe Mwemyekiti aliyekuwepo madarakani lazima atakua kamtuma na ulikuwa ndio mpango wake na yawezekana yeye kula vitamu vitamu alishaanza kitambo.
Hivyo kwa hali hii ilikua ni sababu tosha kwa mhe Lissu kugombea uwenyekiti na nafsi iliyokua agombee awali ya umakamu mwemyekiti agombee Mhe Heche ambaye kidogo kwa sifa wanakaeibiana na ushawishi pia anao kwa kuzingatia historia yake ya uongozi ndani ya chama.
HITIMISHO
Unaweza kuhisi siyo sawa kumlaumu Mhe Mbowe kwa kazi aliyoifanya ya kukijenga CHADEMA lakini yeye pia ndio chanzo cha yanayoendelea. Alikua na uwezo kabisa wa kuita kambi yake na kuwaelekeza kuunga mkono Mwemyekiti mpyq katika kukijenga Chama zaidi kua pamoja katika ajenda yao kuu ya NRNE kwa sasa.
Kukaa kwake kimya lazima alaumiwe na ni tafsiri ya kwamba yupo nyuma ya yanayoendelea. Kama hayupo nyuma ya yanayoendelea kama kiongozi mstaafu na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu alikua uwezo wa kukinusuru na kukilinda Chama chake pendwa. Yawezekana kwa sasa amekichukia Chama kwa sababu tu ya kushindwa uchaguzi wala hakuna kingine.
Madai ya Lisu kuwa kuna pesa imepenyezwa kwenye uchaguzi wa Chadema ni kweli na Mbowe wala wapambe wake hawakukanusha.Bonjour wanabodi!

Hamchoki? Kawaachia chama lakini bado. Kwani CCM miaka yote ya Mbowe haikufanya jitihada za wazi za kuhakikisha kina kufa? Huu sasa ni wakati wa Lissu na Heche kupambana kuhakikisha chama chao kina survive kama alivyofanya Mbowe. Kama Chadema itakatwa miguu responsibility itakuwa ya kwao na sio ya mtu mwengine.
Muacheni apumzike.
Amandla...
Mbowe ni msaliti na pandikizi lla ccmBonjour wanabodi!