Mbowe anapaswa kubeba lawama ndio chanzo cha yanayoendelea CHADEMA

WACHAGA WAMEONA BORA WASIWE WANAFIKI.
 
Chadema wanachekesha sana kama maigizo ya futuhi.

Mnamuita mtu mlamba asali na kibaraka wa CCM. Halafu at the same time mnataka ajitikeze kuwaunganisha na G55 na kumsaidia mwenyekiti

Mlilalamika hajaenda kumuona mwenyekiti gerrzani, alipoenda kumuona tena mkaanza kuwaka kuwa ni mamluki mkamtukana kuwa hamumuhutaji kwenda kumuona mwenyekiti

Hamjui mnachotaka
 
Mbowe alikuwa mpinzani mnufaikaji wa system, sasa wameingia wapinzani wa kweli ambao hawacheki na wowote
 
Anasubiliwa kwa hamu sana apande jukwaani kwa CHAUMA, hapo ndipo atajua machungu ya kuingia Siasa pamoja na uzee wake huo atalia machozi.

Asome nyakati - nyakazi hizi hazihitaji tena siasa zake miaka 20 aliyoifanyia CDM yatosha.

Bado anashauriwa awaonye hao watoto wake ambao eti wanafikiri kwa akili zao wanaweza kuigawa CDM. ni matope.
 
Chanzo ni ubaguzi ndani ya chama unaofanywa na Heche na Lissu.
LISSU na HECHE hawafai hata kuwa viongozi wa familia zao.
 
Tuliwashauri musimchague Lissu mkatuona wajinga. Vilio vimeanza mapema sana
 
Yeye ni mjumbe wa Kamati Kuu. Kiongozi wa chama ni Tundu Antipas Lissu. Huo wajibu wa kukilinda chama ni pamoja na kutochangia udhoofishaji wa chama from within. Usaliti kwa chama ni kushirikiana na wale ambao ana amini kuwa wanakipeleka kubaya. Wajibu wake ni kuwashauri na wasipomsikiliza ni kujikalia pembeni.

Chama chenye viongozi kibao na mamilioni ya wafuasi hakiwezi kumtegemea mtu mmoja kukinusuru. Si mlimuita king'ang'anizi na msaliti aliyehongwa na mama Abduli? Mtu kama huyo atakisaidia vipi chama chenu?

Amandla...
 
Mbowe alikuwa tatizo Chedema. Nyie maccm mlikuwa mnamtaka mtu legelege lakini mkakwama. Chadema ni mpango wa Mungu
 
Mbowe alikuwa tatizo Chedema. Nyie maccm mlikuwa mnamtaka mtu legelege lakini mkakwama. Chadema ni mpango wa Mungu
kua muungwana gentleman,
tataizo linakimbiwa ndani ya chadema, wanachadema wamegoma kusalia ndani ya uropokaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…