Mbowe anasema anatazama kampeni inakwenda vipi wakati yeye ndiye anasubiriwa ili kampeni ianze

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Sikuelewa Mbowe ana maana gani aliposema atautazama mwenendo wa kampeni kabla ya kuamua kugombea uenyekiti.

Lakini sasa hivi kinachosubiriwa ni Mbowe tu aseme ameamua nini.

Kwa jinsi ilivyo sasa inaweza kuleta uvunjifu wa amani. Na hapa sijui kama ndipo mahali pa kuuliza.

Yule Abdul Nondo hali yake inaendelea vipi?
 
Nilikosea sana kudhani Mbowe ana hekima na busara, anashindwaje kusoma alama za nyakati kwa jambo lililo wazi kabisa hv kwamba muda aliokaa madarakani miaka 21 inatosha?!.
Hajajifunza kwa watangulizi wake Mzee Mtei na badae Bob Makani??.
 
Zaidi ya Lissu na Mbowe (speculatively) kuna wadau wengine walioonyesha nia ya kugombea?

Say, Mbowe akijitoa, uchaguzi utakuwa kati ya wagombea wepi? Au wadau hawana hamu ya kusikia wagombea wengine zaidi wakichukua fomu?

Ni jambo moja kutaka Mbowe ajitoe baada ya kuwa mwenyekiti miaka 20. Ni muhimu. Lakini ni muhimu zaidi kwa CHADEMA kuthibitisha kuwa ni chama cha demokrasia kwa hiyo nafasi na zingine zote kuwa wazi kwa wagombea wengi iwezekanavyo.

Ni bora zaidi kwa chama kuwa wazi kwa wagombea wengine zaidi kwa afya ya chama (cha kidemokrasia). Kisha kura ndio ziamue nani awe Mwenyekiti. Nje ya hapo inakuwa KAMA yale yale ya CCM ya kuamini, kutaka na kulazimisha mtu mmoja tu ndiye ashike nafasi fulani.
 
Ni sahihi. Wangewashawishi wengi zaidi wajitokeze ili kuzima propaganda!
 
Nilikosea sana kudhani Mbowe ana hekima na busara, anashindwaje kusoma alama za nyakati kwa jambo lililo wazi kabisa hv kwamba muda aliokaa madarakani miaka 21 inatosha?!.
Hajajifunza kwa watangulizi wake Mzee Mtei na badae Bob Makani??.
Mbowe hajazeeka! Bado ana nguvu ya kukiongoza chama. Na tunahitaji sana hasa kipindi hiki! Tunajua Lissu hana dhamira mbaya. Nikionacho ni Lissu kuona Mbowe anachelewesha mambo pale anapotumia busara zake kila wkt cdm kinapofanyiwa figisu na ccm! Lissu yeye anataka kukinukisha kudai haki Kwa nguvu pale figisu hizo zinapofanyika!
 
Hii clip ya Jambo Tv ambapo Lissu anasema "Mbowe anaongoza genge la utekaji na kuua",hii ni kweli au ndio mambo AI generated?
Kwa sababu kama ni kweli ina maana Lissu akishindwa huu Uchaguzi ataondoka Chadema.
Hapa nadhani a tragedy is about to unfold.
 
big mbowe sitaki kuamini Kanda ya pwani ya bon kenge imtishe na mwenyekiti wa mkoa iringa CHADEMA ,mungai hata kuongea hajui pamoja na eti mchumi.....nyanya kibao mdomoni ....ajiulize kwa nn sugu hajakanyaga na sugu anamikoa zaidi ya 5 akae chonjo
 
Na kama wanakaa kimya kwa sababu Mbowe amewaagiza wafanye hivyo? Pamoja na mapungufu yake Mbowe hawezi kukosa wa kumsemea. Yeye ameamua kunyamaza na wanao muunga mkono hivyo hivyo. Nahisi Mbowe hatagombea, atakumbushia ahadi yake ya kuachia ngazi 2023. Akiamua kugombea itakuwa kwa sababu anaamini au ameaminishwa kuwa Lissu ni hatari kwa chama na atatumia mbinu na nyenzo zote kuhakikisha anashinda. Mbowe ni ruthless mno na strategist mzuri kuliko Lissu.

Amandla...
 
LISu unamjua au unamsikia ,mwezako magufuli hakutaka hata kutangaza matokeo gazetini yajulikane sijui mbowe atafichia wapi
 
Wewe unamjua? Alilazimisha matokeo yatangazwe na JPM? Matokeo ya uchaguzi wa CDM yatawekwa wazi tu. Shida yenu ni kuwa mmeisha amua kuwa yatakuwa halali tu pale Lissu atakapotangazwa kushinda.

Amandla...
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wewe unamjua? Alilazimisha matokeo yatangazwe na JPM? Matokeo ya uchaguzi wa CDM yatawekwa wazi tu. Shida yenu ni kuwa mmeisha amua kuwa yatakuwa halali tu pale Lissu atakapotangazwa kushinda.

Amandla...
Jiandae kuondolewa makao makuu hapo
 
Wewe unamjua? Alilazimisha matokeo yatangazwe na JPM? Matokeo ya uchaguzi wa CDM yatawekwa wazi tu. Shida yenu ni kuwa mmeisha amua kuwa yatakuwa halali tu pale Lissu atakapotangazwa kushinda.

Amandla...
Na kwa wajumbe waliopo Mbowe atashinda asubuhi mapema.Ili Lissu awe Mwenyekiti ni lazima Mbowe asigombee.Akigombea Lissu is cooked.
Mtandao wa Mbowe ni mpana na wa kuaminika zaidi. Support ya Lissu ni kwenye mitandao na wanachama wa kawaida ambao sio wapiga kura.
Ndio maana wanaharakati wengi wameanza kumponda Mbowe kwamba hataki kuachia ngazi kwani wanajua ukweli kwenye kura za wajumbe hawana chao. Anayebisha ni wishful thinking sio uhalisia.
 
Sikuelewa Mbowe ana maana gani aliposema atautazama mwenendo wa kampeni kabla ya kuamua kugombea uenyekiti.

Lakini sasa hivi kinachosubiriwa ni Mbowe tu aseme ameamua nini.

Kwa jinsi ilivyo sasa inaweza kuleta uvunjifu wa amani. Na hapa sijui kama ndipo mahali pa kuuliza.

Yule Abdul Nondo hali yake inaendelea vipi?
Matapeli wa siasa ni wengi.
 
Back
Top Bottom