Pre GE2025 Mbowe anavuna alichopanda, alipoombwa atoe taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano alikataa akidai ni Siri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana

Pia, Soma: Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini

Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni

Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?

Ni mjinga tu ndiye ataandamana

Mlale Unono!
 
Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana

Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni

Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?

Ni mjinga tu ndiye ataandamana

Mlale Unono!
MBOWE naye ni binadamu kama wewe
 
Lilikuwa kosa Maridhiano hayawezi kuwa kati ya vyama viwili. Hata yangekuwa mazuri yasingewakilisha maoni ya Watanzania wote na wadau muhimu.

Maridhiano halisi ni kama tume ya Warioba ilivyopita na kukusanya maoni ya wananchi na wadau wote muhimu ili kuja na katiba mpya.
 
[emoji1]
FB_IMG_1705169494801.jpg
 
Tulikua tunaulizana hapa kila siku.

Hayo maridhiano yalipitishwa kwa vikao vipi vya vyama??

Mbona wanachama hawakupelekewa maeneo ya maridhiano wakajadili na kuafiki.

Kuna ambao tuliona ni maridhiano ya viongozi tu sio ya vyama husika kama vyama.
 
Kweli Kabisa
 
Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana

Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni

Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?

Ni mjinga tu ndiye ataandamana

Mlale Unono!
Na tuliopinga huo utapeli wake na CCM tuliitwa wahafidhina
 
Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana

Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni

Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?

Ni mjinga tu ndiye ataandamana

Mlale Unono!
Mbowe naye mnafiki kwani yeye hawajui CCM kuwa ni waroho wa madaraka!!
CCM wariadhiane na CHADEMA kugawana keki ya tifa,never!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana

Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni

Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?

Ni mjinga tu ndiye ataandamana

Mlale Unono!
Mbowe kapokea mpunga na kajenga jumba la kifahari. Hawajui kusoma hata picha hawawezi kuziona?
Screenshot_20240113_224053_Google.jpg
 
Sikuwahi kuamini wala kuunga mkono hayo maridhiano na kiuhalisia hayakuwahi kuwepo.

Kinachohitajika ni katiba mpya.
 
Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana

Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni

Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?

Ni mjinga tu ndiye ataandamana

Mlale Unono!
Kwanini CCM inayojinasibu Ina waSemaji hovyo wasingelitoa wao taarifa ya hizo vikao.
 
Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana

Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni

Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?

Ni mjinga tu ndiye ataandamana

Mlale Unono!
Msiwe na wasiwasi na Mbowe sababu yeye mwenyewe hataki hayo maandamano. Muwe na wasiwasi na hali ya siasa ya Nchini ambayo inamfanya Mbowe anashindwa kuwatetea CCM huko Chadema. Muda siyo mrefu radicals watachukua hiko Chama halafu mtajua mlikuwa kwenye honeymoon.
 
Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana

Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni

Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?

Ni mjinga tu ndiye ataandamana

Mlale Unono!
Wewe ni mtu mjinga sana hata kama una ka degree bado asili yako imegandamana na wewe.
 
Sikuwahi kuamini wala kuunga mkono hayo maridhiano na kiuhalisia hayakuwahi kuwepo.

Kinachohitajika ni katiba mpya.
Maridhiano ni two way traffic au give and take. Hakuna "winner takes all".

Tuliona kesi za wana CDM zikifutwa kwenye Mahakama mbalilmbali, tuliona waliokuwa ukimbizini Canada na Belgium wakirudi nchini, tuliona mikutano ya kisiasa ikirudi.

Sasa unaposema maridhiano hayakuwahi kutokea una maana gani?. Yaani bado tupo enzi za DIKTETA wa Chato?

Tuwe wakweli, mara nyingine CDM mnadhani muna UMUHIMU kuliko Watanzania wengine
 
Wakati wa dikteta dhalimu mtu wa kwanza kabisa kufanyiwa ukatili alikua Ben Saanane , hapa ndio maridhiano yalitakiwa yaanzie.

Ilitakiwa iundwe independent inquiry commission kuchunguza mauaji ya kijana huyu au whereabouts zake maana kama alitenda kosa basi mahakama zipo za kumhukumu na kama ni kuhoji PhD ni kosa tujue.
 
Lilikuwa kosa Maridhiano hayawezi kuwa kati ya vyama viwili. Hata yangekuwa mazuri yasingewakilisha maoni ya Watanzania wote na wadau muhimu.

Maridhiano halisi ni kama tume ya Warioba ilivyopita na kukusanya maoni ya wananchi na wadau wote muhimu ili kuja na katiba mpya.
Kwa siasa za Tanzania na mwenendo wa vyama vya upinzani na viongozi wake Mbowe alikuwa sahihi kuingia kwenye maridhiano peke yake. Kosa alilolifanya ni kuingia ktk maridhiano kama Mbowe badala ya Chadema. Na kama alikuwa haleti mrejesho wa majadiliano ndani ya chama hilo ni kosa kubwa. Lakini mtu akiniambia amshirikishe mtu kama Lipumba, Cheyo au Zitto Kabwe kwenye maridhiano ya pamoja, huo ni usaliti wala siyo maridhiano. After all vyama vingine vilikuwa wapi kufanya hayo maridhiano kipindi Mbowe akiwa mahabusu?
 
Back
Top Bottom