Lilikuwa kosa Maridhiano hayawezi kuwa kati ya vyama viwili. Hata yangekuwa mazuri yasingewakilisha maoni ya Watanzania wote na wadau muhimu.
Maridhiano halisi ni kama tume ya Warioba ilivyopita na kukusanya maoni ya wananchi na wadau wote muhimu ili kuja na katiba mpya.
..tatizo ni Samia na Ccm.
..maridhiano kati ya Ccm na Cdm yameshindikana.
..maridhiano na wadau wengine wote kupitia kikosi kazi yameshindikana.
..Miswada iliyopelekwa bungeni imepuuza mapendekezo ya kikosi kazi.
..Samia na Ccm ndio wasiotaka maridhiano.