johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
MBOWE naye ni binadamu kama weweAliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana
Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni
Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?
Ni mjinga tu ndiye ataandamana
Mlale Unono!
Kweli KabisaTulikua tunaulizana hapa kila siku.
Hayo maridhiano yalipitishwa kwa vikao vipi vya vyama??
Mbona wanachama hawakupelekewa maeneo ya maridhiano wakajadili na kuafiki.
Kuna ambao tuliona ni maridhiano ya viongozi tu sio ya vyama husika kama vyama.
Na tuliopinga huo utapeli wake na CCM tuliitwa wahafidhinaAliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana
Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni
Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?
Ni mjinga tu ndiye ataandamana
Mlale Unono!
Kabisa Kabisa 😂🔥Na tuliopinga huo utapeli wake na CCM tuliitwa wahafidhina
Mbowe naye mnafiki kwani yeye hawajui CCM kuwa ni waroho wa madaraka!!Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana
Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni
Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?
Ni mjinga tu ndiye ataandamana
Mlale Unono!
Mbowe kapokea mpunga na kajenga jumba la kifahari. Hawajui kusoma hata picha hawawezi kuziona?Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana
Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni
Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?
Ni mjinga tu ndiye ataandamana
Mlale Unono!
Wewe kabisa umeandika hayo? Au akaunti yako imehakiwa?Mbowe naye boya tu. Kalazimisha maridhiano tukamakataza asiendelee nayo.
Kwanini CCM inayojinasibu Ina waSemaji hovyo wasingelitoa wao taarifa ya hizo vikao.Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana
Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni
Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?
Ni mjinga tu ndiye ataandamana
Mlale Unono!
Msiwe na wasiwasi na Mbowe sababu yeye mwenyewe hataki hayo maandamano. Muwe na wasiwasi na hali ya siasa ya Nchini ambayo inamfanya Mbowe anashindwa kuwatetea CCM huko Chadema. Muda siyo mrefu radicals watachukua hiko Chama halafu mtajua mlikuwa kwenye honeymoon.Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana
Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni
Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?
Ni mjinga tu ndiye ataandamana
Mlale Unono!
Wewe kabisa umeandika hayo? Au akaunti yako imehakiwa?
Wewe ni mtu mjinga sana hata kama una ka degree bado asili yako imegandamana na wewe.Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana
Mbowe aliombwa awe anatoa taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano lakini alikataa akidai ni Siri na Kwamba taarifa itatolewa kwa pamoja mwishoni
Sasa leo analia nini ikiwa Maridhiano yalikuwa ni Siri yao?
Ni mjinga tu ndiye ataandamana
Mlale Unono!
Maridhiano ni two way traffic au give and take. Hakuna "winner takes all".Sikuwahi kuamini wala kuunga mkono hayo maridhiano na kiuhalisia hayakuwahi kuwepo.
Kinachohitajika ni katiba mpya.
Wakati wa dikteta dhalimu mtu wa kwanza kabisa kufanyiwa ukatili alikua Ben Saanane , hapa ndio maridhiano yalitakiwa yaanzie.Maridhiano ni two way traffic au give and take. Hakuna "winner takes all".
Tuliona kesi za wana CDM zikifutwa kwenye Mahakama mbalilmbali, tuliona waliokuwa ukimbizini Canada na Belgium wakirudi nchini, tuliona mikutano ya kisiasa ikirudi.
Sasa unaposema maridhiano hayakuwahi kutokea una maana gani?. Yaani bado tupo enzi za DIKTETA wa Chato?
Tuwe wakweli, mara nyingine CDM mnadhani muna UMUHIMU kuliko Watanzania wengine
Kwa siasa za Tanzania na mwenendo wa vyama vya upinzani na viongozi wake Mbowe alikuwa sahihi kuingia kwenye maridhiano peke yake. Kosa alilolifanya ni kuingia ktk maridhiano kama Mbowe badala ya Chadema. Na kama alikuwa haleti mrejesho wa majadiliano ndani ya chama hilo ni kosa kubwa. Lakini mtu akiniambia amshirikishe mtu kama Lipumba, Cheyo au Zitto Kabwe kwenye maridhiano ya pamoja, huo ni usaliti wala siyo maridhiano. After all vyama vingine vilikuwa wapi kufanya hayo maridhiano kipindi Mbowe akiwa mahabusu?Lilikuwa kosa Maridhiano hayawezi kuwa kati ya vyama viwili. Hata yangekuwa mazuri yasingewakilisha maoni ya Watanzania wote na wadau muhimu.
Maridhiano halisi ni kama tume ya Warioba ilivyopita na kukusanya maoni ya wananchi na wadau wote muhimu ili kuja na katiba mpya.