Pre GE2025 Mbowe anavuna alichopanda, alipoombwa atoe taarifa ya Wanachojadili kwenye Maridhiano alikataa akidai ni Siri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

..tatizo ni Samia na Ccm.

..maridhiano kati ya Ccm na Cdm yameshindikana.

..maridhiano na wadau wengine wote kupitia kikosi kazi yameshindikana.

..Miswada iliyopelekwa bungeni imepuuza mapendekezo ya kikosi kazi.

..Samia na Ccm ndio wasiotaka maridhiano.
 
Nakubaliana na wewe kabisa kwenye hilo. Lakini wakati mengine yanaendelea Tundu Lissu alifungulia bomba la matusi dhidi ya Rais Samia. Aliwahi kufananisha akili za Samia na matope.

Unaendeleaje na maridhiano na watu vichaa kama Lissu?
 
Lissu alikua ana demand pesa zake za kiinua mgongo na gharama za matibabu walisokua wanasuasua kumpa.

Luckily Ndugai aliyemuita Lissu mtoro wa vikao bungeni na kusema hana taarifa zake alipo wakati dunia nzima inajua yupo kitandani haikua fair karma served him well.
 
Ccm walipewa nafasi ya maridhiano wakaichezea sasa tukutane barabarani, Mbowe alijaribu kutumia busara imeshindikana
 
Nasikia, alipewa billion tatu Tshs, sasa, zimeisha anasema maandamano.
 
Ile kesi ya mchongo ya Mboye ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…