William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kama Mbowe angekuwa nje huo Moto wa Katiba Ungekuwa mkubwa Sana na sijui Nani angeuzima.
Mbowe ndie kiongozi "PEKEE" anayeweza kuubeba upinzani. Kwanza anabusara, Anaweza kuvumilia wanachama wake wanaokosea.
☺️☺️☺️Kwa tafsili hii kusitegemee Mbowe kuachiwa ivi karibuni na hii itakuwa ndo mipango ya kuudhohofisha upinzani hapa nchini.....🤔
Siamini ila ngoja tuone maana siasa ni mchezo mchafu.....
Mwalimu mwenyewe kaishasanda, wanaopatanisha Bei wamekamilisha Kazi zamani uongozi upinzani NI kipaji. Yuko wapi Julius MtatiroKama haya unayoongea ni kweli kuwa Mbowe ndio kiongozi "PEKEE" anaeweza kuubeba upinzani. Hii inamaana kuwa kina Lisu, Mnyika, Prof Safari, Mwalim na viongozi wengine hawana uwezo wa kuongoza chama au upinzani, pia hawana busara na uvumilivu kama alio nao Mbowe. Yani wao wapo kwa ajili ya kuongozwa tu na Mbowe miaka yote.
Na ujue tu bila Mbowe sasaivi UPINZANI ungashaisha. Wote uliowataja walizimwa Kama taa ya umeme ndo. Ila Mbowe kaanzia nyuma Hadi Leo yupo juuMbowe atafungwa na upinzani utaendelea kuwepo.
Walikuwepo kina:
Masumbuko Lamwai
Mabere Marando
Bob Makani Dr. Silaa
Warid Kabourou
Waitara
Silinde
Lijuakali
Lwakatare
N.k
Wote hawa hawapo na upinzani upo.
Upinzani upo kwenye mioyo ya watu.
Wakati wa kampeni Tundu Lisu alienda Chato na akapokelewa kwa kishindo. Magufuli hakuamini macho na masikio yake!
Hakuna siku moja anayolala mbowe ndan ambayo watoto wa aliefumbiaacho hatolala siku 5Kwa tafsili hii kusitegemee Mbowe kuachiwa ivi karibuni na hii itakuwa ndo mipango ya kuudhohofisha upinzani hapa nchini.....🤔
Siamini ila ngoja tuone maana siasa ni mchezo mchafu.
Kuna kitu atafanya Chief Hangaya week hii kuhysu Mbowe tusiache maombi
Anaenda kufungwa kwa ushaidi wowote. Ama apige magoti ama Afungwe tu.Mhhhh! Huyo vichokochoko kanuia kumfunga Mbowe kwani kishadanganywa Mbowe akiwa huru basi Tanzania HAITATAWALIKA.
Wewe katekeleze msemo wa aliekua Dc wa Iringa then njoo tena, yani KWa fikra zako Mbowe akifungwa na upinzani unakufa?Kama Mbowe angekuwa nje huo Moto wa Katiba Ungekuwa mkubwa sana na sijui nani angeuzima.
Mbowe ndie kiongozi pekee anayeweza kuubeba upinzani. Kwanza anabusara, Anaweza kuvumilia wanachama wake wanaokosea. Alishamtetea Zitto Mara kaadhaa.
Kuongoza upinzani Afrika na ukasimama nI zaidi ya kuwa Raisi. Unaongoza wasaliti, Viburi na wakosoaji haswa. Ukiteleza kidogo wanakumwaga. Muulize mrema, Jemsi Mapalala, Sheif Sharif au Mabele Malando. Utawala uliopita ulikosea kutaka kuufuta upinzani wakati kiongozi wao yupo nje.
Hii NI hatua muhimu.5
Kosa kubwa wanalolifanya makada wa CCM ni kudhania ya kuwa kudhoofisha vyama makini vya ushindani ndiyo salama pekee kwao kubakia madarakani. Leo hii wanaona ni fahari sana kupindisha sheria na hata kutumia vibaya vyombo vya dola ili kuthibiti shughuli za vyama vya kisiasa ndiyo njia muafaka kwao kupata mafanikio.Kama Mbowe angekuwa nje huo Moto wa Katiba Ungekuwa mkubwa sana na sijui nani angeuzima.
Mbowe ndie kiongozi pekee anayeweza kuubeba upinzani. Kwanza anabusara, Anaweza kuvumilia wanachama wake wanaokosea. Alishamtetea Zitto Mara kaadhaa.
Kuongoza upinzani Afrika na ukasimama nI zaidi ya kuwa Raisi. Unaongoza wasaliti, Viburi na wakosoaji haswa. Ukiteleza kidogo wanakumwaga. Muulize mrema, Jemsi Mapalala, Sheif Sharif au Mabele Malando. Utawala uliopita ulikosea kutaka kuufuta upinzani wakati kiongozi wao yupo nje.
Hii NI hatua muhimu.5
Mawazo ya kijinga kabisa.Kama Mbowe angekuwa nje huo Moto wa Katiba Ungekuwa mkubwa sana na sijui nani angeuzima.
Mbowe ndie kiongozi pekee anayeweza kuubeba upinzani. Kwanza anabusara, Anaweza kuvumilia wanachama wake wanaokosea. Alishamtetea Zitto Mara kaadhaa.
Kuongoza upinzani Afrika na ukasimama nI zaidi ya kuwa Raisi. Unaongoza wasaliti, Viburi na wakosoaji haswa. Ukiteleza kidogo wanakumwaga. Muulize mrema, Jemsi Mapalala, Sheif Sharif au Mabele Malando. Utawala uliopita ulikosea kutaka kuufuta upinzani wakati kiongozi wao yupo nje.
Hii NI hatua muhimu.5
Kwani Hayati Mandela alipofungwa na makaburu miaka 27, ANC ilikufa?Kama Mbowe angekuwa nje huo Moto wa Katiba Ungekuwa mkubwa sana na sijui nani angeuzima.