Mbowe angefungwa zamani sasa hivi Upinzani Ungekuwa Umeshakufa. Na hii ndio namna Bora ya kutumia Akili kuzuia Jambo kuliko nguvu

Kinachotushangaz ni kwamba CCm wapo wenyewe bungen, madiwani wote nchi nzima ni ccm na wenyevit wote wa mitaa/ vijiji ni ccm lkn wanamuogopa mbowe na chadema kukilo kitu chochote na wakisikia tunadai katiba mpya wanachanganyikiwa ukweli ccm ilishakufa zaman kimebaki tu kikundi fulani cha watu wanalinda maslai yao binafsi kutumia plc
 
Tatizo ulishalibainisha kuwa ndie kiongozi pekee hivyo wengine ni lapulapu tu, tulia usijijaze gesi.
 
Mku hawa wote walisajiliwa na nini na kufika hapo walipo mpaka ukawataja humu..
Pia kumbuka mm mwanaccm halisi.
Mwenye uwezo apewe uwezo wake kwani Mbowe ni zaidi ya kiongozi
 
Wewe katekeleze msemo wa aliekua Dc wa Iringa then njoo tena, yani KWa fikra zako Mbowe akifungwa na upinzani unakufa?

Sikia Chadema imepika watu na ina watu na ipo Sana kuliko jana, nyakati hazipo upande wa CCM Hata mkimfunga
Mm ni ccm ila mtu kama John Heche mmoja mtu ambaye anastahili
 
Kwa tafsili hii kusitegemee Mbowe kuachiwa ivi karibuni na hii itakuwa ndo mipango ya kuudhohofisha upinzani hapa nchini.....πŸ€”

Siamini ila ngoja tuone maana siasa ni mchezo mchafu.
Alishindwa jiwe wataweza wao.
Unawabomolea machinga then unawalazimisha wakupende
 
Walikuwepo kina Kambona, Mtemvu tangu miaka ya sitini huko baada ya uhuru walikuwepo kina Kassanga Tumbo, wakaja kina Fundikira leo hii hawapo upinzani upo na utakuwepo hata CCM ikiondoka madarakani CHADEMA ikaongoza nchi bado wapinzani watakuwepo tu
 
Ambae hatakuelewa ni kichaa tu
 
Kwa tafsili hii kusitegemee Mbowe kuachiwa ivi karibuni na hii itakuwa ndo mipango ya kuudhohofisha upinzani hapa nchini.....πŸ€”

Siamini ila ngoja tuone maana siasa ni mchezo mchafu.
Tulichelewa kujua uzuzu yaani upinzani ufe kwasababu ya mbowe?!
 
Mbowe sio kiongozi bora. Kiongozi anatakiwa aunde mfumo ambao utaweza kufanya kazi hata yeye asipokuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…