Mbowe anza kuwasha kiberiti Hai Mbona bwana mdogo amekushinda? Ukishindwa kuwasha Hai utawashia wapi?

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
677
Reaction score
1,326
DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya amezuia Sh42milioni za mfuko wa Jimbo la Hai linaloongozwa na Freeman Mbowe (Chadema) na kuagiza kati ya fedha hizo, Sh7milioni ziende kujenga choo cha walimu wa shule ya msingi Mijongweni
 
Upumbavu mtupu
 
Hawezi kufanya hivyo kwani hana mamlaka Nazi!!
 
DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya amezuia Sh42milioni za mfuko wa Jimbo la Hai linaloongozwa na Freeman Mbowe (Chadema) na kuagiza kati ya fedha hizo, Sh7milioni ziende kujenga choo cha walimu wa shule ya msingi Mijongweni
Ni kweli, kama alichokisema alidhamilia kwamba nchi yetu yote ya Tanzania ilishamwagiwa petroli pamoja na jimbo lake la Hai na kwamba yeye ndiye anacho kiberiti na yuko tayari kuiwasha muda wo wote wakimuchokoza: basi aanze kukiwasha huko jimboni kwake Hai tuone. Aanze kwake ndipo tutamwamini.
 
Una akili sana
 
Hawa nyumbu wanahangaika sana
 
Back
Top Bottom