SI KWELI PreGE2025 Mbowe apokelewa na kuteuliwa kugombea Urais kupitia Chaumma

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hiyo Wachaga wanaikimbia taasisi yao, siamini uzushi wenu japo inaonyesha Wanaoikimbia Chadema wengi ni Kaskazini na waliokuwa na vyeo, ukweli ni kwamba Mbowe atakuwa mtu wa mwisho kuondoka Chadema.
 
Kumbuka mrema naye alitokea CCm mwisho wa siku alibaki na kofia yake
 
Sawa tu ni haki yake kidemokrasia kama kweli katiba ya nchi inamruhusu.Hajavunja katiba ya nchi ruksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…