Mbowe asingekuwa na kiburi angeomba kufanya 'internship' CCM makao makuu

Mbowe asingekuwa na kiburi angeomba kufanya 'internship' CCM makao makuu

Hizi propaganda zingine muwe mnafikiria kuziweka front of majority, sasa hii thread gani! Mtu na akili zako unaleta kitu cha kijinga hivi! Wewe mgogo nini!
Hivi nyie watu wa kigoma mbona mnapenda sana sifa za kijinga jinga?
Sasa hapo wagogo wameingiaje
 
Hamna kitu hapo, uimara naumahiri wa CCM vipo wapi nje ya mamlaka ya dola???
Ule uwezo wa kuteuwa, kutenguwa, kushughulikia, kuajili, kufukuza,... wakiwa na mwavuli wa serekali, ndo nguvu/ umahiri wao ulipo. Nje ya mamlaka hayo CCM nayo ni hopeless tu.
Uimara wa chama cha siasa ni kwa viongozi kuishi kwa jinsi ya Itikadi ya Chama, ahadi na maadili yaliyoanishwa kwenye Katiba. Pia kama kiongozi anapaswa kuwajibika kwa wanachama kama mtumishi kwani cheo ni dhamana. Je, ni chama gani cha siasa nchini viongozi wake wanatimiza haya?
 

Attachments

  • Screenshot_20200607-100654.png
    Screenshot_20200607-100654.png
    46 KB · Views: 1
Mbowe akiacha ukaidi anaweza kupata nafasi ya kufanya internship ya miezi 6 pale Lumumba au Dodoma .

Katika mafunzo hayo pamoja na ile kugugusana mabega na JPM, Mangula, Polepole na Bashiru kila siku kitamsaidia sana katika kujifunza njia mpya na mbinu kadhaa CCM walizozitumia kuiongeza Tanzania kwa miaka 50 ijayo.

1. Umuhimu wa uenyekiti kuachiana nafasi ,uenyekiti isiwe ajira yako ya kudumu. Tafuta kazi ya kukuingizia kipato.

2.Kuheshimu wanawake wote ndani ya ofisi ya chama. ( Maana wao ni mabinti zetu, dada zetu na mama zetu) .Tusitumie mwanya huu kuwafadhaisha nafasi zao, kuwashikashika nk.

3. Kuheshimu hela za chama. CCM upamde huu wamepiga hatua sana. Huwezi hata siku moja JPM amekikopesha chama na kukidai siku ya mwisho. Yaani huwezi kusikia Magufuli katoa mili 30 kukodi helkopta halafu mwisho wa siku unakidai chama bilioni 2.

4. Kujifunza njia nzuri kudeal na mivutano midogomidogo ya chama na sio kuchezea breki za wabunge wako au kulipa madereva wa wabunge .
Haki ya mungu huyu jamaa ni mtu makini sana. Maana kila kona mbowe hivi, mbowe vile lakini jamaa bado yupo vizuri. Hayumbi wala hayumbishwi na propaganda zao, wanavyo jitahidi kumyumbisha naona kama vile ndio wanazidi kumuhimarisha, inafika mahali naamini kwamba hata wasiojulikana wanajuta kumshambulia Lissu badala ya mbowe.
 
Back
Top Bottom