Mbowe asingekuwa na kiburi angeomba kufanya 'internship' CCM makao makuu

Hizi propaganda zingine muwe mnafikiria kuziweka front of majority, sasa hii thread gani! Mtu na akili zako unaleta kitu cha kijinga hivi! Wewe mgogo nini!
Hivi nyie watu wa kigoma mbona mnapenda sana sifa za kijinga jinga?
Sasa hapo wagogo wameingiaje
 
Uimara wa chama cha siasa ni kwa viongozi kuishi kwa jinsi ya Itikadi ya Chama, ahadi na maadili yaliyoanishwa kwenye Katiba. Pia kama kiongozi anapaswa kuwajibika kwa wanachama kama mtumishi kwani cheo ni dhamana. Je, ni chama gani cha siasa nchini viongozi wake wanatimiza haya?
 
Haki ya mungu huyu jamaa ni mtu makini sana. Maana kila kona mbowe hivi, mbowe vile lakini jamaa bado yupo vizuri. Hayumbi wala hayumbishwi na propaganda zao, wanavyo jitahidi kumyumbisha naona kama vile ndio wanazidi kumuhimarisha, inafika mahali naamini kwamba hata wasiojulikana wanajuta kumshambulia Lissu badala ya mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…