Uchaguzi 2020 Mbowe atakiwa kuomba radhi baada ya kusema vyama vingine vya upinzani vinashirikiana na CCM

Uchaguzi 2020 Mbowe atakiwa kuomba radhi baada ya kusema vyama vingine vya upinzani vinashirikiana na CCM

Chama cha Demokrasia Makini Wapeleke malalamiko Tume ya maadili officially kwa hicho mbowe alichotamka ili Chadema wachukuliwe hatua officially ikiwemo kuzuiwa kufanya kampeni kama chama nchi nzima
Eeeeeee wakizuiliwa kufanya kampeni nchi nzima siitakuwa balaaaaaa!!! Labda kulipa fine ya pesa
 
Hao mazwazwa pimbi vibaraka wanafanyia kampeni zao wapi? na wamesimamisha wagombea wangapi? TUANZIE HAPA
 
Vingine vikipiga kura Lissu apewe adhabu, sas upinzani wa kweli uko wapi. Vyama vya upinzani vyote dunian adui wao wa kisiasa huwa ni chama tawala, sas inakuwaje u side na ccm. Tatizo vyama vyetu njaa kali
 
Eeeeeee wakizuiliwa kufanya kampeni nchi nzima siitakuwa balaaaaaa!!! Labda kulipa fine ya pesa
Kipindi hiki sio cha faini Mbowe kadhalilisha vyama vyote vya upinzani kama kiongozi official mkuu wa chama adhabu inabidi kipewe chama sio wagombea tu
 
Vingine vikipiga kura Lissu apewe adhabu, sas upinzani wa kweli uko wapi. Vyama vya upinzani vyote dunian adui wao wa kisiasa huwa ni chama tawala, sas inakuwaje u side na ccm. Tatizo vyama vyetu njaa kali
Kwenye demokrasia huwezi pangia chama kiamini nini na kimuunge mkono nani
 
Tamko la Mbowe litakigharimu Chadema vyama vingine vya upinzani vitawaambia wanachama wake pigia chama chochote isipokuwa Chadema hata kama hutaki kutupa kura
 
Mtaji wa Mwanasiasa ni wafuasi, kama huna wafuasi basi wewe ni sawa na sisi tu wengine huku mtaani. Sasa Mh. Mbowe amuombe mtu ambaye hata akigombea udiwani mtaani kwake hapati.

Watu kama hawa hupandikizwa ili kucheewesha safari ya kidemokrasia!! Hata enzi za kumwondoa mkoloni Mwalimu Nyerere alipata changamoto kama hizi nyingi mno kutoka kwa wabongo wenzake.

So Mh. Mbowe upo sahihi 100% na watanzania ni mashahidi na wamekuelewa vizuri mno.
 
CHADEMA haifai kutawala hata Wilaya. Wanagombana na kila mtu. Baada ya Oktoba 28 watapata aibu na anguko kubwa
 
Hivi Tanzania kuna Chadema mbili!!! Hii ya pili imepya sana...!!
 
Aombe radhi ipi? Kwani Mbowe amesema uongo upi? Vyama vyote vingine ni utopolo mtupu wa kisiasa. Waache ujinga hapa. Wachukue maneno ya Mbowe kama wake-up call. Tunawafahamu na tumewachoka. Siyo wanasiasa, ni wahuni wachumia tumbo.
 
Eti maneno ya Mbowe ni wake up call?. Labda ya kumeza faru John, na manyumbu wenzake. Hiko chama ni cha kuuzwa na watanzania wote.
 
Back
Top Bottom