Eeeeeee wakizuiliwa kufanya kampeni nchi nzima siitakuwa balaaaaaa!!! Labda kulipa fine ya pesaChama cha Demokrasia Makini Wapeleke malalamiko Tume ya maadili officially kwa hicho mbowe alichotamka ili Chadema wachukuliwe hatua officially ikiwemo kuzuiwa kufanya kampeni kama chama nchi nzima
Kipindi hiki sio cha faini Mbowe kadhalilisha vyama vyote vya upinzani kama kiongozi official mkuu wa chama adhabu inabidi kipewe chama sio wagombea tuEeeeeee wakizuiliwa kufanya kampeni nchi nzima siitakuwa balaaaaaa!!! Labda kulipa fine ya pesa
Kwenye demokrasia huwezi pangia chama kiamini nini na kimuunge mkono naniVingine vikipiga kura Lissu apewe adhabu, sas upinzani wa kweli uko wapi. Vyama vya upinzani vyote dunian adui wao wa kisiasa huwa ni chama tawala, sas inakuwaje u side na ccm. Tatizo vyama vyetu njaa kali
Nyie pikeni wali ndondo baasCHAUMA pia tuko jikoni tunaandaa tamko.
#ubwabwa kwa wote.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/10/2539985_Magu_zanzibar.mp4CHADEMA haifai kutawala hata Wilaya. Wanagombana na kila mtu. Baada ya Oktoba 28 watapata aibu na anguko kubwa
Wakupiga magoti ni Magufuli siyo MboweMbowe apige magoti harakasana.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/10/2539985_Magu_zanzibar.mp4Tamko la Mbowe litakigharimu Chadema vyama vingine vya upinzani vitawaambia wanachama wake pigia chama chochote isipokuwa Chadema hata kama hutaki kutupa kura
Ndiyo walio zuia ajira kwa vijanaChadema ni maadui wa maendeleo.
Hivi huyu Jamaa aliyefanikiwa kumpigisha magoti anaitwa nani... Na anafanya nini!?Kama huyu? NEVER!View attachment 1591081
Hashimu rungwe ni mpinzani wakweliCHAUMA pia tuko jikoni tunaandaa tamko.
#ubwabwa kwa wote.
Maendeleo ya kujiletea wenyewe hawataki, wao Wanataka kila kitu kuletewa... Vya bure gharama...Chadema ni maadui wa maendeleo.
Eti maneno ya Mbowe ni wake up call?. Labda ya kumeza faru John, na manyumbu wenzake. Hiko chama ni cha kuuzwa na watanzania wote.Aombe radhi ipi? Kwani Mbowe amesema uongo upi? Vyama vyote vingine ni utopolo mtupu wa kisiasa. Waache ujinga hapa. Wachukue maneno ya Mbowe kama wake-up call. Tunawafahamu na tumewachoka. Siyo wanasiasa, ni wahuni wachumia tumbo.